GE2025 Kigamboni: Yericko Nyerere kuzindua Kampeni zake 23/9/2025

GE2025 Kigamboni: Yericko Nyerere kuzindua Kampeni zake 23/9/2025

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

SANGAPIPI

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2013
Posts
210
Reaction score
325
Maandalizi ya Uzinduzi wa Kampeni za Ubunge Kigamboni za Mwanajukwaa mkongwe Yericko Nyerere yamepamba moto tayari ameachia wimbo wa Kigamboni na sera zake,
2ADC3952-A7B3-4A45-87D2-64351E80455C.jpeg

Wimbo👇
 
Maandalizi ya Uzinduzi wa Kampeni za Ubunge Kigamboni za Mwanajukwaa mkongwe Yericko Nyerere yamepamba moto tayari ameachia wimbo wa Kigamboni na sera zake,
View attachment 3467633

Wimbo👇
View attachment 3467632

Hawa watu wanategenea huruma ya CCM which it will never happen.

CCM hawataweza kuachia najimbo mengi kwa vile wataonekana wamegalagazwa na Vigaragosi vyao. Kugalagazwa na Vikaragodi pia itaonyesha kuwa hawana ubavu wa kupambana na Chadema in a free ballot box.
 
Akipata walau asilimia 10 ya kura huko, atakuwa amepambana sana

CCM wanataka kujiwekea rekodi ya ushindi wa asilimia 90 kwenye Kila majimbo ya Uchaguzi

Ndiyo maana tayari kuna majimbo CCM wanasubiri kura za Ndiyo/Hapana tu ili kushinda majimbo yao

Anyways, Kila la heri kwake 🙌
 
Unaweza kudhani anamaanisha kumbe yuko kwenye igizo.
 
Kishoka wa Siasa - just making numbers.
 
Back
Top Bottom