jamani kigamboni kwa heriiii,wakazi wakigamboni hawajui hatima ya maisha yao baada ya stoporder kuisha watu wanajenga wangine hawajui cha kufanya,mama prof Tiba sijui haoni madudu haya au anataka nini?,
baadhi ya madudu haya hapo
1.mjini wa kigamboni unauzwa na mswada unapeleka bungeni wa mamlaka ya mji wa kigamboni wadau hawajui
2.HII NI KWA MZEE MAGOFULI
- watadu wako hapa fresh walituletea mashine za kukatisha tiketi wakafunga mpaka leo hazifanyi kazi ila kila wakitaka kula wanaleta mafundi watengeneze,FUATILIA
- Lile boti la kuokolea lililofunguliwa na raisi la mabilioni lipo tu pale ngombo ya bahari halifanyi kazi,Wandishi pigeni picha mumulize raisi watu anakumbuka ni mwaka jana tu alizindua boti hilo
- wadau hii najua wengi hawatapenda,jamaani ukikata tiketi pale wakupe kipande cha abiria kwani usipochukua wanarudisha wanauza tena,ndiyo maana ata wanamaliza vyuo vikuu wanagombania pale,Mhe mwakembe upo?
Mimi navyo elewa kuna Development Company ya Marekani inataka kutengeneza mji wa kisasa na wana partner na serikali. Hii ni kitu cha kawaida na huku sio kuuzwa kwa namna yeyote!!. Inabidi tuache tabia ya kufikiri kila development inayofanya na kampuni ya nje ni kuuza nchi kwani serikali haiwezi kufanya kila kitu. Kama itawanufaisha Watanzania je kuna ubaya gani kwa kampuni hii kushirikiana na serikali na kujenga sehemu za kuishi za kisasa, office, hospitali, Hotels, shule etc!!
YouTube - Kigamboni - New Dar City Center
Wadau, nimejaribu kucheki hapa Kiwanjani petu lakini sijaiiona hiii ya kigamboni....kama mmeshaiona basi hakuna haja ya ku-comment ila kwa sisi ambao hatujaiona ni vyema kuweka mawazo yetu.
Kwa ufupi kwa hali hii, Tanzania imenunuliwa maana ukiangalia kwa undani hii picha ni kwamba hakuna uwezekano tena wa mtu wa kawaida kwenda kuishi au hata kutembea huko Kigamboni......
Ndugu zangu ambao mnatumia simu mtaniwia radhi maana hii video ni kubwa kidogo. Siwezi kuielezea kwa ufasaha nisije danganya but comments za wajumbe na washiriki watasaidia kuhusu hili.
Nawakilisha
mzee hi ki2 haianzi leo wala kesho.yawezekana csi tukatangulia mbele ya haki hi mambo bado.
jamani hii Kigambon project inakwamisha mambo mengi ya kimaendeleo, sijui kuna mwanajamii anafahamu imefikia wapi hivi sasa?
....imeishia kwenye DVD!jamani hii Kigambon project inakwamisha mambo mengi ya kimaendeleo, sijui kuna mwanajamii anafahamu imefikia wapi hivi sasa?