kwa uzuri huo.....hata kama wameuza poa tu...! tumechoka na kkoo yetu...! uzeni haraka.. ! kabla sijafa..!
Tatizo ni kwamba.... kwanini tufadhiliwe ilhali tuna mali zetu ambazo zinatosha kujenga miji kama hiyo kila mkoa?akili fupi za kusema nchi imeuzwa huwa sipendi hata kusikiliza. hata mlimani city mlipiga sana kelele kuwa tumeuza sehemu ya udsm, lakini sasaivi mmejaa pale kusukuma tolori zimejaa vitu mnavyonunua....watu kama ninyi ni wa kuwapuuzia tu, msema mlieee hadi mchoke, lakini kitu ambacho selikali inaona kuwa kinafaa, bora kifanyike tu.
kitu kingine, kuna watu wana alergy na wamarekani au westerners....wakisikia mradi unataka kufadhiliwa na watu wa magaribi, WANASEMA NCHI INAUZWA...kwasababu ya uranium, watu wanasema nchi inauzwa kwasababu watu wa magharibi wanaitaka...mlitaka waje waarabu?HAO WAARABU wakija na sisi tutasema nchi imeuzwa....na huwa inauzwa kama livyofanya MWINYI kwenye LOLIONDO, kule ndo kuuzwa..lakini kwa kigamboni, ni kitu kizuri na kitafanyika hata mkipiga kelele. hii nchi ya kwetu sote, na si kwasababu baadhi yenu hamuwapendi wa magaribi ndo sote tuko hivyo, na si kwamba kwasababu baadhi yenu mnawapenda waarabu na kupenda miradi yote tz ingekuwa chini ya waarabu kwamba sote tuko hivyo...mimi kwa upande wangu, mradi uwe wa magaribi au kiarabu naupokea tu..pamoja na kwamba kama ningesema nichague, ningesema waarabu waende zao huko na huwa siwaamini..hauwapendi wamagaribi na mimi sipendi kushirikiana na waarabu...na sote tunaishi kwenye nchi moja, sasa cha maana ni kuacha tu wote waje, waarabu, wachine, wahindi wazungu wote waje...na tuache kupiga makelele kuwa nchi imeuzwa.....mlitaka hiyo uranium anunue nani?waarabu iran?..hii inakera kusikiliza kwakweli...
Nakubaliana na wewe kabisaaaaaaaaa uzeni kabla hatujafa plzzzzzzzzzzzzkwa uzuri huo.....hata kama wameuza poa tu...! tumechoka na kkoo yetu...! uzeni haraka.. ! kabla sijafa..!
h
uwiiiii - Kiamba changu heka 2 pale kibada na chenyewe hope kishaingizwa humo -- ssasa ijui ka ntaja lipwa hata laki moja - hii sirikari haiaminiki. nikienda mahakamani yale yale - sasa nikimbilie wapi kupata haki zangu wandugu?
usijali chali yangu uko salama maeneo yanayoonekana kwenye picha hii hapa chini hayataguswa...
Kaka kiswahili kwako kigumu hayo maeneo ya kwenye picha HAYAGUSWIMkuu, Mwenye hiyo Picha Kiamba changu cha heka 2 kipo hapo kwenye " 20,000 Plots Projects - Kibada" - SHAKUFA CHIEF.
usijali chali yangu uko salama maeneo yanayoonekana kwenye picha hii hapa chini hayataguswa...
DUh naona na university of africa nao wana sehem yao..... its quite interest project ila hala hala watekelezaji isiwe hii serikali ninayoijua mimi hao jamaa naona waje na kila kitu kutoka kwao... yaani nathubutu kusema hata wakazi waje nao kutoka kwao.. wkasababu sisi hata utuinzaji ziro tujengewe vizuri vipi na bado tutaviharibu katika hali ya ujinga... mifano ni kama hilo soko la kimataifa la samaki wachina wamelijenga fresh sasa hiv na kuliunguza wahsaliunguza kisa hakuna maintanasi toka lijengwe wanataka hadi wachina waje kutoka kwao watengeneza na utaratibu wa kutumia mbovu vyoo vishaharibiwa majokofu na kila kitu... saasa huo uwanja mpya naupa miaka 5 ijayo utakuwa hautamaniki.. labda ndio waufanye kama nguo ya siku kuuu inavaliwa mara moja kwa mwaka kwenye sikuu kuu tu.... vinginevyo utakuwa hadithi... c jui tumelogwa.... tumewekea vihifadhi taka vya kisasa watu wanang'oa vituo vya mabasi watuwanang'o..... jamaaaani kwani tunaniniii mi nahisii ili lilikuwa eneo la makaburi(tanzania) tumevamia kuishi haiwezekani watu hawbadiliki vizazi navizazi
Mfunyuluzi (Thanks),
Many thanks for the posting and the masterplan. But I am dissapointed by the Negaholics and critics of this Forum. You can always hear that nothing good come out from our own initiatives unless there is Mkono wa mtu! UDOM ni yetu wenyewe na kama mmeanza kuitafutia sababu ya kusema imeletwa na Wamarekani basi wanaotaka iwe hivyo walie na watoe machozi ya kenge au samaki.
Kama Tumeweza kuijenga UDOM kwa fedha zetu wenyewe, tunaweza kuijenga Kigamboni kwa nguvu zetu wenyewe. Wanaotaka kuingiza siasa na udhaifu wao binafsi kwenye suala jema na zuri kama hili, waache wale chuki zao wenyewe.
Bila ushabiki wa aina yeyote, UDOM ni mfano wa kuigwa kuhusiana na nini kinawezekana kufanyika kwa kutumia nguvu zetu na tunapokuwa na ujasiri wa maamuzi magumu.
Namalizia kusema kama ujenzi wa UDOM na Mji mpya wa Kigamboni unakukera au kukuudhi Nasema hivi: Nenda "KAJINYONGE" kama huna kamba njoo uchukuwe. :smilez::shock::lalala:
kwenye hizo picha mbona sioni nafasi ya kujenga kibanda changu au kiwanja changu watachukua?
akili fupi za kusema nchi imeuzwa huwa sipendi hata kusikiliza. hata mlimani city mlipiga sana kelele kuwa tumeuza sehemu ya udsm, lakini sasaivi mmejaa pale kusukuma tolori zimejaa vitu mnavyonunua....watu kama ninyi ni wa kuwapuuzia tu, msema mlieee hadi mchoke, lakini kitu ambacho selikali inaona kuwa kinafaa, bora kifanyike tu.
kitu kingine, kuna watu wana alergy na wamarekani au westerners....wakisikia mradi unataka kufadhiliwa na watu wa magaribi, WANASEMA NCHI INAUZWA...kwasababu ya uranium, watu wanasema nchi inauzwa kwasababu watu wa magharibi wanaitaka...mlitaka waje waarabu?HAO WAARABU wakija na sisi tutasema nchi imeuzwa....na huwa inauzwa kama livyofanya MWINYI kwenye LOLIONDO, kule ndo kuuzwa..lakini kwa kigamboni, ni kitu kizuri na kitafanyika hata mkipiga kelele. hii nchi ya kwetu sote, na si kwasababu baadhi yenu hamuwapendi wa magaribi ndo sote tuko hivyo, na si kwamba kwasababu baadhi yenu mnawapenda waarabu na kupenda miradi yote tz ingekuwa chini ya waarabu kwamba sote tuko hivyo...mimi kwa upande wangu, mradi uwe wa magaribi au kiarabu naupokea tu..pamoja na kwamba kama ningesema nichague, ningesema waarabu waende zao huko na huwa siwaamini..hauwapendi wamagaribi na mimi sipendi kushirikiana na waarabu...na sote tunaishi kwenye nchi moja, sasa cha maana ni kuacha tu wote waje, waarabu, wachine, wahindi wazungu wote waje...na tuache kupiga makelele kuwa nchi imeuzwa.....mlitaka hiyo uranium anunue nani?waarabu iran?..hii inakera kusikiliza kwakweli...
Kama masterplan mbona watu washachonga Masterplan za Dodoma kwa miaka zaidi ya 30 sasa, mpaka wakaunda CDA.
Unless wanaleta kitu solid mi nawaona wale wale wenye yale yale tu.
ndo maana hatuendelei hizi ni theories za mujaheedena so ina maana hawa jamaa na Al Shabash nani bora? tuweke kambi ya vijana wa Al Shabash basi watulipie! Mawazo ya magengeni na misikitinipole kaka naona unaongea kwa uchungu sana
lakini hakuna jinsi, BATCH yao ya kwanza ya CIA wa KITANZANIA ndio mwaka huu inatoka UDOM, na vijana wanapikwa kuikana nchi yao yenyewe na ndio watakuwa wakaaazi wa huo mji mpya, nia na malengo makuu ni kukama URANIUM ya Tanzania iwe mikononi mwao, wanataka kuitengeneza hii nchi kiasi kwamba hata raisi awe nani wao wanakuwa na link nzuri mno ya information
hii nchi imeshauzwa
Kiranga,
Kamba bado ninayo tena aina yeyote unayoitaka, ipo ya manila, katani na hata ya michongoma.
Kigamboni itajengwa tu, hata ikiwa miaka mia moja ijayo.
Unataka solidi masterplan gani zaidi ya hiyo uliyoonyeshwa?
Watanzania hasa wa humu JF mmezidi kupiga domo tu, na mnadhania maendeleo yatakuja kwa kukosoa tu.
Kila siku kelele tuuu!
na wengine ushabiki usio na msingi na wengine humu JF hakuna lolote ni siasa tu za CCJ na CCK na wakati mwingi kelele za Chadema na matusi kwa vyama vingine. Kama kweli hili Jukwaa linataka kupata heshima yake, acheni ushabiki na siasa zisizo na msingi na maslahi kwa taifa wekeni pembeni.
Kila tukiaka inakuwa kama JF imetekwa nyara na chama fulani jina kapuni ((.......))
Kule kwetu Uchina
tunasema hivi maendeleo hayaletwe kwa kupiga domo.
Anayekasirika kuhusu kujengwa mji mpya Kigamboni au chuo kikuu cha Dodoma kamba ya kujinyongea ya kila aina hata ya mpingo ukitaka ipo, njoo uchukuwe