Kigamboni kuishitaki serikali the hague!

King Kong III

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
51,672
68,641
Ni katika sakata la ujenzi wa mji mpya kigamboni,wamesema serikali iking'ang'ania na mpango wao basi wataifungulia kesi katika mahakama ya kimataifa ya uhalifu na kivita ya uholanzi(The Hague)

Source:Gazeti la leo
 
Back
Top Bottom