Sijali
JF-Expert Member
- Sep 30, 2010
- 2,700
- 1,857
Kigali Masterplan 2040 video - YouTube
I know these guys will do it....they are not just a domokaya like.....
I know these guys will do it....they are not just a domokaya like.....
Misaada tulishasema hatuitaki tena! Miasaada inayokuja na nyodo? No thanks!tenda wamepewa crystal venture au??? watafanya haya kwa pesa gani maana hakuna pesa za misaada tena!!
kodi ya watu wangapi?! kinchi ambacho hakilingani hata na mkoa wa tabora?! kama kodi ipo kagame anazurura kutafuta nini?
Watanzania bwana!hebu niambie vision mliyo nayo..wanasema penye nia pananjia..muache kudharau watu wanyarwanda hakuna kinacho washinda.kodi ya watu wangapi?! kinchi ambacho hakilingani hata na mkoa wa tabora?! kama kodi ipo kagame anazurura kutafuta nini?