I hope everybody is ok in the house.
Janga kuu la mvua zinazoendelea kunyesha ni mafuriko ambayo yamesababisha baadhi ya watu hasa wale wanaoishi mabondeni kukosa makazi pamoja na kupoteza mali + maisha. Lakini pia inasemekana ugonjwa wa HOMA YA DENGE kwa kiasi kikubwa Umechangiwa na mvua nyingi zilizonyesha kupita kawaida.
Lakini kwangu janga kuu lililoletwa na mvua hiyo ni kuharibika kwa barabara yetu. Mvua imesababisha barabara yetu inayoingia mtaani kwangu ninakoishi kumomomyoka kiasi cha kushindwa kupitika kwa bajaj, pikipiki au gari. Nahisi suluhisho ya kero hiyo ni kumwaga kifusi cha rami labda inaweza kusaidia. Nimekuja kwenu wadau mnisaidie kama kuna mtu ambaye anajua wapi naweza kupata kifusi cha rami basi asisite kunijuza.
Eneo lengwa liko MBEZI-KIMARA. Please help.
its very urgent!