Kifurushi halotel GB4 tshs 7000 -wiki

Line inakua upgraded tu inakuwa na Menu ya SMEs yaani package kwa ajili ya wafanyabiashara ndogondogo. Kikubwa uwe na Nida number na obvious TIN number hata kama sio ya business otherwise anakuchongea mwenyewe.

But all in all menu ndio inakua hivyo
View attachment 2825059
Cc Extrovert hii ndio process... kama utakua interested nitakupa namba ya airtel staff aliyeniunga but atakucharge elfu 7. Ni line hiyo hiyo inakua upgraded tu
 
Mie ni mtu wa tutorial za youtube, natumia Reddit (Inakula bundle kuliko instagram) pia natumia HDO kustream series. Nachofahamu ukinunua kifurushi cha muda mrefu data haikati sana kwenye kuisha kuliko cha muda mfupi.
Haikati sababu wanakupa real Gigabytes. Mfano hio 35GB unakuta wanakupa 30 Gigabytes za ukweli which is fair enough.

Kwa internet yetu ya 3G ambayo ndio mitandao mingi inatupa kwa sasa ukipewa 1GB halisi yani 1, 024 Megabytes unaweza tumia internet siku nzima hujaimaliza hio GB. Ila kwa kuwa unaandikiwa umepewa 1GB ila kiuhalisia umepewa 500MB ndio maana unashangaa bando linaisha within an hour or two of heavy using. Wanacheza na akili zetu tu.
 
Back
Top Bottom