Kifurushi halotel GB4 tshs 7000 -wiki

Hii ikoje?
Line inakua upgraded tu inakuwa na Menu ya SMEs yaani package kwa ajili ya wafanyabiashara ndogondogo. Kikubwa uwe na Nida number na obvious TIN number hata kama sio ya business otherwise anakuchongea mwenyewe.

But all in all menu ndio inakua hivyo
Screenshot_20231125_205602_Phone.jpg
 
Line inakua upgraded tu inakuwa na Menu ya SMEs yaani package kwa ajili ya wafanyabiashara ndogondogo. Kikubwa uwe na Nida number na obvious TIN number hata kama sio ya business otherwise anakuchongea mwenyewe.

But all in all menu ndio inakua hivyo
View attachment 2825059
Hizo GB zinakuwa valid hadi mwisho wa mwezi au ndio inakuwa week 2 tu ushamaliza elfu 30 yako.
 
Back
Top Bottom