Stanley Mitchell
JF-Expert Member
- Jan 2, 2014
- 4,574
- 4,073
mmh kwel??
Jaribu tu..mm sio wakala wala sina shea vodacom ila naongea kwa xprnce yangu ...kama ww ni heavy user wa net bac icho kifurushi cha ukweli. 3g safi sana.
mmh kwel??
angalia vizuri. kifurushi hichi hakijawahi kuwa elfu 10. ni kile ambacho kwa sasa 31000/=
Sasa voda ni speed kasi youtube hai "buff" wala nini kama unaangalia tv vile , naongea kwa experience yangu
Upo chini ya mnara broo.
Upo chini ya mnara broo.
Sasa voda ni speed kasi youtube hai "buff" wala nini kama unaangalia tv vile , naongea kwa experience yangu
Kajipange vizuri.sasa 1gb unafanya nini? kwa youtube ikidumu hio saa 1 unashkuru mungu
Hawa tigo sitaki kuwasikia kabisa ni waongo kupitiliza. Mimi huwa naunga kifurushi cha kabang ya elfu 10 sidownload chochote zaidi ya kuperuz lakini wiki haishi internet inakuwa haifanyi kazi.
Wiki hizi 2 wamenikera zaidi internet yao ilikuwa slow sana hata nilishindwa kuingia JF hadi nikajua may be JF inafanyiwa marekebisho kwenda kujaribu kwenye Computer ikawa inafanya kazi.
Mpaka sasa sijui mtandao gani unafaa kwa internet voda pia nishatumia ndio haifai kabisa. Airtel nayo kimeo kama toka jana vocha haiingii nikaingiza mara nyingi mpaka wakanizuia kuingiza vocha.
Nipo hapahapa dar
Mi na voda yangu,Wajanja night inanitosha sana...