Paje
JF-Expert Member
- Apr 24, 2010
- 1,185
- 486
- Thread starter
- #41
kama unavyoona kwenye attachment hiyo kaka , kifurushi hiki kinakupa 3GB kwa download na unlimited GBz kwa kubrowse mwezi mmoja. zinapoisha zile za kudownload utatumia PD proxy au guru kwa ajili ya kudownload . I hope you know the magic behindMimi hawa Tigo kasi yao haijawahi nilidhisha labda huko Dar; au hii month plus inakasi zaidi.., anyway ni GB ngapi hicho kujaribu sio vibaya