Kifurushi cha internet mwezi bei rahisi.....

Paje

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2010
Posts
1,185
Reaction score
486
Kile kifurushi cha month plus cha mwezi unaweza kukipata kwa 9000/= kama utakitaka. utanipa namba yako nitakuunganisha kiaina. utalipia kwa mpesa, tigo pesa , ezypesa etc....
TIGO internet.png
 
Mimi hawa Tigo kasi yao haijawahi nilidhisha labda huko Dar; au hii month plus inakasi zaidi.., anyway ni GB ngapi hicho kujaribu sio vibaya
 
Tigo niliachana nayo nipo Dar na niliwai unga hicho kifurushi kikiwa 10,000/- lkn nilijuta
 
Ndio kipi hicho Mkuu? Napata GB ngapi? Speed je?
 
Kile kifurushi cha month plus cha mwezi unaweza kukipata kwa 9000/= kama utakitaka. utanipa namba yako nitakuunganisha kiaina. utalipia kwa mpesa, tigo pesa , ezypesa etc....
View attachment 148774

Kwanini ujiunge upewe Gb chache kwa mwezi kwa bei ghali wakati voda kwa masaa 24 unapata GB 1 internet yenye kasi??
Kwa haraka haraka utatumia zaid ya GB 30 kwa mwezi kwa elfu 15
 
Sasa hicho cha voda unajiungaje mkuu? I real need that service....
 
Kwanini ujiunge upewe Gb chache kwa mwezi kwa bei ghali wakati voda kwa masaa 24 unapata GB 1 internet yenye kasi??
Kwa haraka haraka utatumia zaid ya GB 30 kwa mwezi kwa elfu 15

hizo gb3 ndio full speed halafu baada ya hapo inakua unlimited kwa speed ndogo.
 
Tigo niliachana nayo nipo Dar na niliwai unga hicho kifurushi kikiwa 10,000/- lkn nilijuta

angalia vizuri. kifurushi hichi hakijawahi kuwa elfu 10. ni kile ambacho kwa sasa 31000/=
 
Kwanini ujiunge upewe Gb chache kwa mwezi kwa bei ghali wakati voda kwa masaa 24 unapata GB 1 internet yenye kasi??
Kwa haraka haraka utatumia zaid ya GB 30 kwa mwezi kwa elfu 15
mkuu naomba niambie kifurushi kipi unapa gb 1 kwa masaa 24 plz
 
Kwann ukubali kulimitiwa kwa apees ndogo? Raha ya net full speed

kila mtu na matumizi yake kaka. mtu anestream youtube kwa kawaida (360p) kumpa net zaidi ya 1mbps ni uharibifu wa malighafi hivyo wengine wapo radhi speed ndogo ila iwe unlimited.
 
Sasa voda ni speed kasi youtube hai "buff" wala nini kama unaangalia tv vile , naongea kwa experience yangu
 
Back
Top Bottom