Kifurushi cha Happy hour

Kifurushi cha Happy hour

Mbona kwangu inagoma? Napata ujumbe "cheka haipatikani sasa jaribu tena baadaye" nimejaribu line 2 tofauti hakuna mabadiliko



Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums

Hilo tatizo sijawahi kupata, ningekushauri ucheki na customer care vodacom. Mitandao ya bongo iko very biased siku hizi. Mfano: kwa mtu aliyezoea kuweka bundle za 10,000/=, baada ya muda flani wanamzuia kuweka bundle za chini ya 10,000/= (bundles za 2,000/=,5,000/= hutaziona kwenye menu yako kabisa) so kuna privileges tofauti tofauti kwa sababu wanazozijua wao.
 
jamani kuna wa2 wakijiunga ---------- hat a ikipita asubuhi ye anaendelea na iyo 1gb mpaka itakapoisha ata ikiisha mchana je nyie imewaiwatokea

Asante kwa taarifa lkn wakishtukia wanaifunga
We kaa kimya mwenye macho yakuona na one
 
Back
Top Bottom