Njunwa Wamavoko
JF-Expert Member
- Aug 11, 2012
- 5,757
- 2,388
Za humu wadau
Kuna mdau kanambia Vodacom Tanzania(mtandao wenye kasi ya ajabu(HSPA+) hapa Tanzania kuzidi mitandao mingine kwa makao makuu ya nchi, Dar) Wameanzisha kifurushi ambacho unapata Unlimited ya Internet kwa lisaa limoja kwa TZS 200 au Dakika 20 kwa sh 100
Kwa aliyetumia atupe feedback
Je ni kifurushi cha internet au mda wa maongezi?
Kama ni kifurushi cha Internet basi hamna haja ya wajanja night offer maana 500/- unapata lisaa limoja wakati happy hour unapata masaa mawili na dkk 20
Karibu