Kifupi cha Chama cha Demokrasia na Maendeleo.

Chadema= chagga development manifesto.

wewe ni zandiki,nadhani mnaeneza propaganda ya ukabila ili lengo lenu litimie la rais kutotoka kaskazini.A wanna tel u that kwa taarifa yako rais ajaye atatoka Arusha kwa tiketi ya CHADEMA.
 
Naona mzimu wa Christian Democratic Movement (CDM) Unawasumbua

Acha kupandikiza chuki na kupalilia udini. Kifupisho rasmi ni kile kinachojulikana kikatiba na si vinginevyo haya mambo ya tafsiri zisizo rasmi yatatuletea tabu tuwe makini na hoja zetu.
 
Back
Top Bottom