Kifungulia world cup....

Kifungulia world cup....

B'REAL

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2010
Posts
4,582
Reaction score
3,272
Wakuu leo ntakuwa pale sport bar greek mitaa ya uzunguni karib kabisa na oldvai restaurant...rond about ya impala na hii kitu nikifungua kombe la dunia kombee.jpgbaada ya hapo sijuii....
 
Haya bana naona una Brazika mapema kabisa, na yule ulietuonyesha wa Ki Habesh vip?
 
Subiri kdg tuzungumzie bajet hiyo hapo juu kwanza mkuu

Mkuu utafiti si umeona hiyo budget hapo juu ilivyo ni shidaa
Yafaa sana kwenda nayo kwenye kombe la dunia unabrazilika na ukitoka hapo ukiulizwa ilikuw ani mechi gani unaishia kusema Arsenal na Tanzania
 
Last edited by a moderator:

hahaha kamandaa umenifuraisha ya una brazilikaa mpaka unasema arsenal na tanzania
 
Hahahahaha arsenal na taifa mkuu?
 
Last edited by a moderator:
hahaha kamandaa umenifuraisha ya una brazilikaa mpaka unasema arsenal na tanzania

Mkuu B'REAL sasa utasemaje wakati unajua wife alikuwa anakodolea macho tv na anajua team inayocheza wewe unaibuka na nyingine kabisa na unawambia super sport 16 ndo walikuwa wanaonyesha na unabisha kabisa yeye alikuwa anaangalia sijui super sport 3

Hahahahaha arsenal na taifa mkuu?

Ndo manake utafiti utajiteteaje sasa
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Mod alishasema picha kama hizi muwe mnazikuza....

attachment.php
 
Wakuu leo ntakuwa pale sport bar greek mitaa ya uzunguni karib kabisa na oldvai restaurant...rond about ya impala na hii kitu nikifungua kombe la duniaView attachment 164456baada ya hapo sijuii....

hii picha sio ya yule Malaya wa kenya mliemtoa mtandaoni kuwa anausambaza ukimwi kwa makusudi?
 
Back
Top Bottom