Kifungu 11(3) cha katiba ni uongo kwa sasa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kifungu 11(3) cha katiba ni uongo kwa sasa

Discussion in 'KATIBA Mpya' started by Kashaijabutege, Jan 14, 2011.

 1. Kashaijabutege

  Kashaijabutege JF-Expert Member

  #1
  Jan 14, 2011
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 2,699
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  11(3) Serikali itafanya jitihada kuhakikisha kwamba watu wote wanapata fursa sawa na za kutosha kuwawezesha kupata elimu na mafunzo ya ufundi katika ngazi zote za shule na vyuo vinginevyo vya mafunzo.


  Nafikiri wakati wa Mwalimu Nyerere hii ilikuwa sawa. Naomba kifungu hiki kifutwe hata kabla ya kupata katiba mpya.:clock::lever:
   
 2. Masaningala

  Masaningala JF-Expert Member

  #2
  Jan 14, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 539
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 45
  Kwa vile magugu ni mengi katikati ya ngano, tuache hadi wakati wa mavuno, kwani ukianza kung'oa magugu sasa hivi unaweza kung'oa na ngano. Wakati wa mavuno umekaribia (2011 -2014 Mchakato wa katiba mpya) ndipo utakuwa wakati mwafaka wa kukata magugu na ngano halafu zitachujwa wakati wa kupepeta/kuchambua.
   
Loading...