Binti Maringo
JF-Expert Member
- Jul 4, 2007
- 2,804
- 88
Kwa wale waliosoma shule ya Kifungilo it doesn't matter umesoma mwaka gani.
Apparently Me and My other 2 classmates (The original M&K "as you know what i mean lol!...blushing!! -..) tumeletewa ombi la ku-organize re-union ya wanafunzi wale walisoma shule ya wasichana ya kifungilo-Lushoto...Wale ambao wanaishi Marekani na wale wa ulaya.....
Kwa hiyo basi nilikuwa naomba kama kuna mtu/watu wapo interested and have any ideas and stuff like that,... please send me a PM or email me at auntkelly@hotmail.com....
Na pia kama umeona hili tangazo tafadhali mtumie na rafiki yako pia.
Lets do this!...
Kelly01!
Am one of them Kelly and was in class K you can email me thru osilvia90@yahoo.com.
Dah! Kama kweli we ni product ya kifungilo basi ndio maana kale ka tumbili ngabu kanakuita cup-cake heheee.
Yes mimi niproduct ya Kifungilo..why do you say my cupcake ananiita cupcake?...i know tunaadabu sana wanafunzi wa kufungilo wife material no doubt on that...sister fidesta didnt raise fools...
"NATULENGE JUU"
Dah! Kama kweli we ni product ya kifungilo basi ndio maana kale ka tumbili ngabu kanakuita cup-cake heheee.
wife material i dunnoh.ila majority are on the fine side, sasa sijui masista wanachagua wazuri wazuri?
Sista acha dharau....
Miye nilidhani Nzokanhyilu ni dume la mbegu kumbe ni mwanamke???!....ok!ok!...-
Oh yeah...demu huyo....
And its hard kujua gender za watu humu kutokana na majina you know...siyo kama jina la cupcake mwanamke hawezi kuitw aNN maana jina ni gumu kidogo you know..
You got that right....a female can't be called Ngabu.
Ngabu is too hard of a name....just try saying it loud and see how much energy you expend...say Nyani Ngabu and see
I don't find it hard maana sooner or later i will be Kelly01 Ngabu LOL!...Cute!
Umeshapata email yangu Penny?you can email me thru osilvia90@yahoo.com.
You will be Mrs. Ngabu...that's what's up babes
Umeshapata email yangu Penny?
toto za gate kali,zinatafutana kwa ajili ya reunion,well then hii shule ilikuwa top,nilishavamia graduation kama mbili and i wasnt dissapointed,sijui kama bado ina maintain,au imekuwa just another school
Aisee wewe utakuwa umevunja rekodi ya kupigwa vibuyu humu ndani....hahahaaa...mwenzio Penny ana Balantanda wake....ahahahahaha....nimekuambia uachane na mambo ya u Soulja Boy lakini husikii....