nipo2
JF-Expert Member
- Jun 7, 2016
- 467
- 560
Shukrani mkuu
Naendelea baadae
Naendelea baadae
Naendelea baadae
Hivi nipo2 we ni mwanaume au mwanamke samahani lakini kwa hili swali jamaniAsanteh sana
Naunga mkono hojaHatutakiii tunataka kesho unaweka nyingi sana
Yaani anaweka episode nyingi sana mtu unapata na uvivu kusoma sababu episode zenyewe ni ndefu sana karimu jitahidi uweke tatu au 4 usituchosheNaunga mkono hoja
Hahahaha nmecheka kwa nguvu huku hatare!Hivi nipo2 we ni mwanaume au mwanamke samahani lakini kwa hili swali jamani
Hahhahha usicheke mkuu nilitaka kujua sababu kuna siku nataka kujibu quote yako nikuite maa najiuliza nikasema nitakuuliza tuHahahaha nmecheka kwa nguvu huku hatare!
Nipo2 huyu ni mwanaume
Poa poa pamoja sana!Hahhahha usicheke mkuu nilitaka kujua sababu kuna siku nataka kujibu quote yako nikuite maa najiuliza nikasema nitakuuliza tu
Vipi anataka kuolewa auHahahaha nmecheka kwa nguvu huku hatare!
Nipo2 huyu ni mwanaume
Vipi anataka kuolewa au
Nipe namba yakeSijui mkuu!
Ila kama ndivyo hvyo litakuwa jambo la heri sana..!!
Nipe namba yake
Ntakupa mrejesho ngoja nikajaribu bahati yanguMfate PM tu mkuu atakupatia!
Vipi anataka kuolewa au
Sijui mkuu!
Ila kama ndivyo hvyo litakuwa jambo la heri sana..!!
Nipe namba yake
Mfate PM tu mkuu atakupatia!
Ntakupa mrejesho ngoja nikajaribu bahati yangu
Kila lenye heri mkuu!!Ntakupa mrejesho ngoja nikajaribu bahati yangu
Kanipiga za uso laivu mwananguKila lenye heri mkuu!!
Fanya basi kuniachia mawasiliano basiSio mbaya si mwanaume hakiwezi haribika kitu