Kifo ninini?

Kifo si kitu bali ni utengano kati ya mwili na roho
 
Bado tu, uhai au roho pia tujibiwe, ndo nini hiki kiitwacho roho?
 
Kifo ni maua yanayoptikana ktka kijiji cha lengo wilaya ya newala katika mkoa wa mtwara
 
Soul is energy.. It can neither be created no destroyed
Ni kama chaji ktk simu "umeme" yenyewe haijitambui bali hutenda tu, ikiwa kwenye simu itatenda kisimu na ikiwa kwa friji itatenda kifriji sivyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…