Kifo: Ni stahili yetu au adhabu?

Kifo: Ni stahili yetu au adhabu?

Ukifa ndio mwisho wako,sanasana utaongeza idadi ya madini ardhini! Huwezi kuishi tena popote pale,kila kitu kuhusu wewe kitakuwa kimefungwa!

Domy,
Kwa maelezo yako ni kwamba kile Ukristo unachofundisha kuhusu ufufuo na uzima wa milele ni myth.
Na uislam pia kuhusu pepo ni hadithi pia. ?!
Zile habari za Rest on peace nazo ni za kufikirika tu?!
 
Some things we just have to accept that we dont know, maybe we will some day, or we will never know.

hizo philosophy za wanaoamini umbaaji ni ideas tu. Depending on one's experiences and knowledge atazikubali au kukataa (why would you even accept it knowing that they are only ideas and not facts).

Death is part of reality. Kila kitu kinazaliwa na kufa. kwanini umebase kwenye wanadumu sijui! kama ulikuwa na mnyama kipenzi (pet) akafa unaweza kulia kama kafa ndugu yako.
 
Kifo sio adhabu kwa binadamu, kuku, simba, majini, malaika- viumbe vyote vitakufa atabaki muumba pekee. Pia kwa mapenzi yake siku moja atavifufua viumbe vyote kwa ajili ya hukumu na kuanzia hapo hakuna kufa tena.
 
mwili unachoka kama unavoliona gari likikongoloka na hatimae kufikia mwisho....
Mwili unauwezo wa kuji-rejuvanate kama ungetaka, but instead miili yetu imekuwa programmed kujizeesha na kujichakaza kwa makusudi kabisa..!
 
Mwili unauwezo wa kuji-rejuvanate kama ungetaka, but instead miili yetu imekuwa programmed kujizeesha na kujichakaza kwa makusudi kabisa..!
Vipi kwa mtu au kiumbe kilichopata ajali kikasagika sagika au mtu aliyezama majini? huoni kuna hekima kubwa ya kifo kwa maisha haya ya duniani?
 
naogopa kufa,japo najua ipo siku moja ntaonja umauti.
 
Vipi kwa mtu au kiumbe kilichopata ajali kikasagika sagika au mtu aliyezama majini? huoni kuna hekima kubwa ya kifo kwa maisha haya ya duniani?

Insuch cases naiona hekima ya kifo, but still, my point stands.
 
Some things we just have to accept that we dont know, maybe we will some day, or we will never know.

hizo philosophy za wanaoamini umbaaji ni ideas tu. Depending on one's experiences and knowledge atazikubali au kukataa (why would you even accept it knowing that they are only ideas and not facts).

Death is part of reality. Kila kitu kinazaliwa na kufa. kwanini umebase kwenye wanadumu sijui! kama ulikuwa na mnyama kipenzi (pet) akafa unaweza kulia kama kafa ndugu yako.

The reality that you can not explain or comprehend? !
The choice of what to base on my post is entirely part of argument as far as human' s theories are concerned. .....
 
Unajua wahubiri wengi huwa wanadai kuwa kifo kilikuwepo kutokana na adhabu juu ya kosa lililotendwa na Adamu na Hawa na bila kosa hilo kusingelikuwa na kifo kitu ambacho siyo sahihi kabisa;Ukweli ni kwamba kifo kilikuwepo hata kabla ya lile kosa isipokuwa Kifo chake kingelikuwa tofauti na hiki kinachotupata,Kifo ambacho tungekuwa nacho ni hiki; 1.Kifo kingelikuwa ni njia tu ya kumfikia Muumba wetu 2.Watu wasingelikuwa wanaogopa kufa,hivyo ingelikuwa ni tukio la furaha sana 3.Watu wangelikufa tu kwa Umri maalumu(yaani baada ya kuzeeka) tofauti na sasa. 4.Watu wangelikuwa tarehe na saa zao za kufa,tofauti na sasa ambapo watu hatujui siku wala saa. 5.Watu tungelikuwa tunauelewa juu ya kule tunakoelekea namna kulivyo.Kumbe ndugu zanguni mtagundua kuwa Dhambi ilifanya kifo kuwa kitu kibaya kinachoogofya sababu ni Uhasama tunaoujenga kati yetu na Mungu,Hivyo wengi tunajawa na hofu,mashaka,wasiwasi,woga,n.k. juu ya siku zetu za kufa kwa kuwa tunajijua kuwa tumekuwa tukimkosea Mungu.
 
Unasema tumekizoea kifo?
We umechanganyikiwa nn?!
Labda wewe ndiye umekizoea,hivi unaweza lala chumba cha maiti pale muhimbili au amama hospital?
acha utani dogo kifo hakizoeleki maana anayekimiliki kifo na kukiamrisha kutenda ata sura yake haijulikani.Na kama tungekua tunaishi nae hapa chini ya jua na anaonekana kwa macho bas angekua ni billionea!!!

Usiogope!,Woga juu ya kifo ni hatari zaidi ya kifo chenyewe.
 
Mbingu na dunia zitapita ila maneno yangu hata ncha moja haita ondolewa. Kifo ni adhabu na adhabu yoyote inauma.
 
Back
Top Bottom