Sun is Sun
JF-Expert Member
- Mar 13, 2024
- 1,153
- 1,699
Kifo kinathibitisha kwamba Wanadamu wote ni sawa.
Uzikwe kwa kutengewa zege na matarumbeta,uzikwe uchi,uzikwe kwa kupambwa na manukato,haisaidii,Njia ya wote,ingawa hatuizoei!Kifo kinathibitisha kwamba Wanadamu wote ni sawa.