Naisujaki Lekangai
JF-Expert Member
- Aug 19, 2012
- 1,340
- 1,378
Until death put us together Amen
Pole lakini iko so straightforward hakuna fumbo wala tafsida ilotumika!Mmmh nimetoka kapa
Nyama zikiondolewa kisha kubaki mifupa ni vigumu kutofautisha ke na me.Hapo dem yupi na man yupi?
we ni mke wA mshana jr
Wa kulia ni dem, angalia hips!Hapo dem yupi na man yupi?
NimekubaliNyama zikiondolewa kisha kubaki mifupa ni vigumu kutofautisha ke na me.
Kina nani hao, wanataka nini, why skeleton zao..
Kama hujaelewa kaa hivyohivyo hutakufa usiogope!Kina nani hao, wanataka nini, why skeleton zao..
Fafanua, hujaeleweka
Kifo hakiepukiki mama! Lazima kila nafsi itaonja mautiKama hujaelewa kaa hivyohivyo hutakufa usiogope!