Kifo cha Sheikh Yahya: Gwajima ameshinda?

Kifo cha Sheikh Yahya: Gwajima ameshinda?

ushindwe kwa jina la Yesu!!!

lakini yahya husein hajafa kifo cha ghafla. ameugua muda mrefu tena sana. na amefanyiwa operation mpaka nje ya nchi. naye alikuwa amekula chumvi nying...................
 
Gwajima amechemka, kufa sote tutakufa hakuna cha ajabu
 
Back
Top Bottom