korino
JF-Expert Member
- Dec 6, 2011
- 1,014
- 684
Mfano km nini kaka mshana!?Kuna vitu vinamdai avimalizie
Mfano km nini kaka mshana!?Kuna vitu vinamdai avimalizie
Mkuu hapa umenigusa kidogo na mm nina hili tatizo.Spiritually there is unfinished tasks you are required to finish
Hili ni jambo kubwa sana na la kipekee na maelezo yake ni marefu kama utakuwa mvumilivu nitakuja na post yake kamiliJe, wale wanaofarik tarehe zao za kuzaliwa hii imekaaje?
Na wale inayotokea mwez o tarehe ya kuzaliwa kuwa karibu au kuzikwa katika tarehe hyo hyo imekaaje naomba ufafanuz
Ukilijib unitag tafadhaliHili ni jambo kubwa sana na la kipekee na maelezo yake ni marefu kama utakuwa mvumilivu nitakuja na post yake kamili
HujaelewaMkuu kifo kimeumbwa. Mfano wako wa nzi haufit hapo kwenye mada. Kifo cha binadamu yoyote lazima kiwe na sababu. Hata uishi mpaka miaka 300 siku ukifa kutakuwa na sababu iliyosababisha kifo chako.
Kama utakufa kwa kupigwa risasi je kifo hiko ni cha kujitakia? Kama nilikuwa niishi miaka 60 na nimekufa nikiwa na 25 ikifika 60 yrs nitakufa tena?
Nani alikwenda kwa mganga kutaka Damu ya Akwilina? Tumia AkiliKwa hiyo Akwilina inawezekana amekuwa Ghost?
Punguza mihemko mkuuNani alikwenda kwa mganga kutaka Damu ya Akwilina? Tumia Akili
Nimependa ulivyofikiriKwa hiyo Akwilina inawezekana amekuwa Ghost?