Kifo cha ridhaa na kifo cha lazima

Kifo cha ridhaa na kifo cha lazima

Naomba urudie tena kusoma kwa makini nilichoandika.. Kuna mahali umemiss point kubwa tu.... Hivyo vifo unavyosema wewe ni vifo vya mustakabali kwamba umekufa kwa sababu fulani.... Yani kama ungeachwa basi ungeendelea kuishi.. Soma mfano wa NZI nilioutumia hapo juu
Halafu kifo hakiumbwi bali ni matokeo ya kuzaliwa... Uhai ndio unaumbwa
Bila kutulia ni ngumu kuelewa
 
Nimelielewa somo, ila bado kuna swali nilishawahi kukuuliza ktk mada zako, kuna nini kwenye damu? Inaonesha sadaka yake ni kubwa sana tena haswa itolewapo kupitia damu za viumbe vikuu kama mwanadamu. Kuna nini kwenye damu hata ikalazimika uokovu (ktk imani ya Ukristu) imwagike tena toka kwa kiumbe kisicho na unajisi?
 
Damu ndio hubeba uhai, roho ili iwe active ndani ya mwili
 
Tuendelee na mada zetu za ulimwengu wa roho katika upana na ukubwa wake... Habari za vifo vya lazima na vifo vya hiari

Hapa tofautisha na mustakabali (fate) hapa ni tamati ya kukoma kuwa... Kukoma kuwepo... End of existence... Kikomo cha ugiligili kani... Uvutano uliofikia ukomo

Twende kwa mifano rahisi.... Maisha ya nzi baada ya kuzaliwa ni wiki moja... Yaani siku saba ama masaa 168 na kwa dakika ni 10080... Huu muda ukitimia nzi lazima adondoke afe bila hata ya kuguswa na chochote... Hiki ndio kikomo cha kuwa.. Ama kuwepo... Hiki kinaitwa kifo cha ridhaa

Nzi huyu huyu akifa kwa njia yoyote ile akifa kabla ya siku saba kutimia anakuwa amekufa kifo cha lazima ambapo kiroho atakufa kamili siku zake saba zikitimia.... Hapo ndio penye utimilifu wa hatima yake...! Sio mustakabali....
Kina kiumbe hai kina life span yake kulingana na udogo ama ukubwa wake.... Kikifa kwa lazima, bado kitakuja kufa kamili hata kama mwili wake ulishaoza na kugeuka samadi ya manyua

Ndugu yangu unayeenda kutafuta tiba mbadala ya matatizo yanayokukabili epuka kwa namna yoyote uwezavyo kutoa roho ya kiumbe hai chochote kwa ajili ya uzima na utatuzi wa matatizo yako.. Makinika kwakuwa huo ni mwanzo wa kuingia kwenye maagano yasiyokoma

Unaweza kufanikiwa sasa kwakuwa kile kiumbe roho yake ingali hai... Lakini itakapofika muda kamili wa roho kutengana na roho kwa ridhaa nawe mambo yako yataanzia kuharibikia hapo....

Ukiwa na kumbukumbu utawahi kwa mtaalam na bila kukwambia ukweli atakwambia kuwa wabaya wako wameanza kukutafuta tena hivyo unahitaji kafara kubwa zaidi...

Makinika na ogopa kabisa kitu kinachoitwa damu.. Shughuli inayohusika na kumwaga damu.. Ule ni uhai ulioondoshwa kwa lazima itafika mahali utaondoka kwa ridhaa na ndio hapo dunia inapogeuka chini juu
Je,anakufa amekaa,anakufa kwa kugongongwa na chombo Cha usafiri,anakufa kwa kuzama majini mwisho kwa Sasa binadam tunaishi umri Kati ya miaka 0 - 70 je katikati hapo ukifariki Kuna Nini?sikubishii ila nahitaji elimu
 
Nitakurejea

Jr
 
Kila binadamu ana mustakabali wake...kama kifo chake hakina kisababishi cha kibinadamu basi ni kifo asili
 
Back
Top Bottom