Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,579
- 161,432
kwa sauti nilimsikia akisema......ohhh mamaaaIngekuwa mawazo yanaonekana ningependa nione ya mzungu yaliko.
Ingekuwa mawazo yanaonekana ningependa nione ya mzungu yaliko.
kwa sauti nilimsikia akisema......ohhh mamaaa
umeona ehhmzungu hoi
Usipime muziki wa DUBWASHIKA LA KIMANYEMAMkuu Bujibuji huyo jamaa nadhani tayari kulikuwa na matatizo huko chini ya miguu yake miwili,alikuwa kashaharibu mambo,bahati mbaya tu hapaonekani,we jaribu kuangalia sura na mdo wake ulivyo ni ishara tosha.
waafrika mashallah
Usipime muziki wa DUBWASHIKA LA KIMANYEMA
Na tena mzungu ni mvumilivu,ningekuwa mimi teyari siku nyingi sana!mzungu hoi