Kifo cha Mwalimu Nyerere 14/10/1999, ulikuwa wapi?

Nilikuwa form 4 na siku hiyo nilikuwa nime dodge class na washkaji tukipiga final touch nyuma ya darasa la pcm form 5 at OLD MOSHI SEC huzuni mpaka sumu/ ugali maharage haukulika siku hiyo
 
Hahahahahahahah lol! Nyerere alipendwa na Watanzania hawa waliokuja nyuma yake majonzi hayatafikia hata robo ya yale ya kifo cha Nyerere.

Lazima niwe mkweli nilikuwa darasa la sita shule ya msingi Mbuyuni hapo njia ya kuelekea posta, tulirudishw home kisa nyerere kafa, nilipofika nyumbani nilimkuta mwenye nyumba analia mithili ya mtu aliyebakwa
 
Back
Top Bottom