Huyu Kova nae anatuabisha tu! Kwamba hawajalala kwa hili la mchina tu au huwa hawalali mauwaji yakitokea? Mbaya zaidi hawa tunaojipendekeza kwao wanatujua vizuri sana jinsi tulivyo wanafiki!Kova anasema yeye na viongozi wa juu wa polisi hawajalala usiku wakifuatilia na mpaka sasa hivi watu watatu wamekamatwa kwa kuhusishwa na kifo hicho source ITV habari jana usiku.
Niliwahi kusikia watu wenye vichwa vya mviringo ni "empty head".JK anacho na mkewe anachoKwa upande wake, mke wa Rais Jakaya Kikwete, Mama Salma Kikwete, alisema wanawake ambao ni wanachama wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (Wama) wamepokea kwa masikitiko makubwa taarifa kuhusu mauaji ya marehemu.Alisema hata hivyo anaamini kuwa mauaji hayo yatakuwa chachu ya ushirikiano na juhudi za kuwasaka na kuwakamata wote walioshiriki katika kumuua mwanamke huyo, aliyekuwa chachu ya maendeleo kwa wanawake.
Kwa niaba ya Wama tunaamini juhudi zitafanywa ili kukamatwa wahalifu waliohusika katika tukio hilo na watafikishwa mahakamani. Lakini pia tunaamini usalama utaoimarishwa ili juhudi za kueta maendeleo zisirudi nyuma, alisema mama Kikwete.
Sijui akigundulika muuaji ni mwanamke itakuwaje
mazishi yamehudhuriwa na waziri wa mambo ya nje benad membe, suleiman kova, salma kikwete NI MAZISHI YA MCHINA ALIYEFARIKI KWA KUPIGWA ROBA lkn watanzania wanatandikwa risasi, wanauwawa kinyama tn na hao wachina, wanakufa kwa kuvamiwa na majambazi sijaona waziri akihuzuria mazishi lbd wafe Watanzania zaid ya 1000, KWA HALI HII SIDHANI!
acha ushabiki wachina wanatubeba sana, wewe ungeweza nunua hata TV ya sh 120 nchi 21 ungeiona wapi[/QU
Alaah, kumbe kuna pikipiki zilizotengenezwa na watz? Naomba nijuzwe zapatikana wapi hizo?Tukubali ukweli, akili ya mchina mmoja ni sawa na akili ya maprofesa 10,000 wa kitanzania. Kati ya pikipiki 10,000 ni mbili tu zimebuniwa na kutengenezwa na viwanda vya Tz the rest China. Au uwongo?!
Katika hili nakupongeza sana. Mungu aiweke roho ya marehemu mahali panapostahili. Amenukiwa ombaomba ndo ilivo.
tunabembeleza misaada ya wachina.
R.I.P mama wa Kichina.
Alaah, kumbe kuna pikipiki zilizotengenezwa na watz? Naomba nijuzwe zapatikana wapi hizo?
Hata mimi nimeshangazwa sana na umaskini wetu wa mawazo. Kweli hii ngozi sijui ilikosa nini, acha dadangu aendelee kutumia CAROLIGHT tu labda Mungu atamuona siku moja.
kuhudhuria mazishi si kitu kibaya ila wamekufa watanzania wangapi acha kwa kabari wale wanaopigwa nondo Mbeya mpaka mate adhuriwe ndo polisi inajikakamua!!what a shame!!!