Kifo cha mbunge wa Songea mjini chamuibua mgombea Frederick Fussi

kitumbotala

JF-Expert Member
Aug 6, 2015
516
621
Baada ya taarifa zilizojaa simanzi kusambaa nchi nzima na hata nje ya nchi, kuhusu aliyekuwa mbunge wa jimbo la Songea mjini kupitia chama cha CCM Mh. Leonidas, kufariki dunia,

aliyekuwa mpinzani wake aliyeonekana kumpa wasiwasi mkubwa wa kumshinda kwenye jimbo hilo katika kinyang'anyiro cha jimbo hilo la Songea kupitia chama cha Demokrasia na maendeleo-CHADEMA Mh. Frederick Fussi ameibuka na kuonyesha hisia zake.

Kupitia ukurasa wake wa Tweeter ameandika kuonyesha huzuni yake juu ya mwanasiasa huyo wa CCM.

[HASHTAG]#MUNGU[/HASHTAG] AILAZE ROHO YA MAREHEMU PEMA PEPONI.AMEN.
161bf00c3620460e22d3024f97bed013.jpg
1ba6d43ce9a33391be16b367cdeaad90.jpg
 
R.i.p Gama
Ila huyu fusi alinunuliwa na marehemu ili kuuza ushindi wake, pia alihujumu kesi iliyofunguliwa na chama chake cdm kwa kuficha ushahidi wa matokeo ya kila kituo na baadhi ya fomu muhimu, kabla ya kutimka na kuungana a aliyekuwa mbunge, so nothing new
 
Huyu fussi ndiyo nani na aligombea chama gani, ninachokumbuka Gama alishindana na Fuime
 
Back
Top Bottom