Kifo cha kikatili! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kifo cha kikatili!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mvaa Tai, Aug 30, 2011.

 1. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #1
  Aug 30, 2011
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Hebu angalia link hiyo chini, huwa najiuliza sana hivi sisi Watanzania ni watu wa namna gani iwapo mtu kaiba kuku kauawa kikatiri namna hii, alafu watu wanaiba mabilioni wanaambiwa wajiuzuru na tunaendelea kuwaona humo barabarani bila hata kuwarushia jiwe moja na bado tunaendelea kuwachagua kuwa viongozi wetu. Nimesikitishwa sana na hiki kifo.

  JIACHIE
   
 2. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #2
  Aug 30, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,479
  Likes Received: 12,758
  Trophy Points: 280
  na vibaka nao wamezidi
  hili jamaa afya yote hii si angeshika jembe akalime kuliko kwenda kuiba kuku
  sasa ona yaliyomkuta kwa afya aliyonayo angefanya hata vibarua mahali
  kupenda vitu vya mkato ni mbaya na madhara yake ndo hayaaa
   
Loading...