Kifo cha Imam wetu kipenzi kinaleta Simanzi.

Busu la Kenge

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2025
Posts
2,331
Reaction score
4,241
Kipenzi chetu cha dhati Imam Hussain ibn Ali A.S mkombozi wa waislamu aliuwawa kikatili kuutetea na kuulinda uislamu dhidi ya dhulma, ukandamizaji, unyanyasaji na uonevu.

Alijitolea nafsi ili haki ipatikane duniani Na kurudisha utu wa ubinadamu.

Wanadamu Sasa hivi tumejawa dhulma na uonevu na kuelekea kukandamiza, kunyanyasa na kuonea wengine.

Kifo cha Imam wetu kinaniuma Sana Hadi nashindwa kulala.

Tupiganieni haki Na haki itawale.

Screenshot_2025-07-11-11-53-58-13_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12~3.jpg

Screenshot_2025-07-09-18-01-08-90_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12~2.jpg
 
Kumlilia kiumbe wa Mwenyezi Mungu miaka nenda rudi ni Kharamu na pia ni ushirikina.
Imam Hussein "AS" ilimpasa kuiacha Dunia ili kutoa nafasi wengine wachukue mahali pake.
Maisha yangekuwaje kama watu wote wangebaki hai Duniani ?
Kifo ni mpango wa Mungu, tukipokee.
 
Kipenzi chetu cha dhati Imam Hussain ibn Ali A.S mkombozi wa waislamu aliuwawa kikatili kuutetea na kuulinda uislamu dhidi ya dhulma, ukandamizaji, unyanyasaji na uonevu.

Alijitolea nafsi ili haki ipatikane duniani Na kurudisha utu wa ubinadamu.

Wanadamu Sasa hivi tumejawa dhulma na uonevu na kuelekea kukandamiza, kunyanyasa na kuonea wengine.

Kifo cha Imam wetu kinaniuma Sana Hadi nashindwa kulala.

Tupiganieni haki Na haki itawale.

View attachment 3408400
View attachment 3408401
We mshia acha upumbavu hpa kwanza ushachukua buku 10 lko na pilau?

Ushia sio dini nyinyi acheni kupotezwa na mashia watu kutwa kuwatukana maswahaba wa mtume

Ushia ni ukafiri na sio Uislamu
 
Kuna kitu hakipo sawa!
Hv hatuwezi kuchanga tone tone tupate nauli ya kumfikisha huyu jamaa kule mirembe?

Nawaapia tukimuwahi atapona na yote tutayasahau!

Mcheki tena hapo chin mwamba mkombozi wa waislamu Imam Hussain aliuwawa kikatili kuutetea uislamu dhidi ya dhulma ukandamizaji unyanyasaji na uonevu.
Screenshot_2025-07-07-20-40-52-64_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12~2.jpg

Screenshot_2025-07-07-20-16-29-71_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12~2.jpg
 
Kipenzi chetu cha dhati Imam Hussain ibn Ali A.S mkombozi wa waislamu aliuwawa kikatili kuutetea na kuulinda uislamu dhidi ya dhulma, ukandamizaji, unyanyasaji na uonevu.

Alijitolea nafsi ili haki ipatikane duniani Na kurudisha utu wa ubinadamu.

Wanadamu Sasa hivi tumejawa dhulma na uonevu na kuelekea kukandamiza, kunyanyasa na kuonea wengine.

Kifo cha Imam wetu kinaniuma Sana Hadi nashindwa kulala.

Tupiganieni haki Na haki itawale.

View attachment 3408400
View attachment 3408401
Dini ya UKWELI haipiganiwi,DINI ya kweli inasambaa kama mawingu,,hauwezi kumwaga damu za wa2 ukasema unapigania dini,,,,man "KIZURI CHAJIUZA,KIBAYA CHAJITANGAZA"!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom