Busu la Kenge
JF-Expert Member
- Jun 13, 2025
- 2,543
- 4,664
- Thread starter
- #21
Mkuu Acha kumkosea heshima sheikh wetu kipenzi. NI mjumbe wa Allah nchini. Ana kipaji cha aina yake katika mafundisho ya dini ya kiislam. NI mkufunzi wa dini ya kiislam hajawahi kutokea kwenye historia ya maziwa makuu tangu dunia iumbwe.Acha ujinga iyo dini yenu ya kishia ngozi nyeusi haingii peponi sasa ww endelea kuwafuata hawa wapuuzi akina jalala