Nazima moto, sisubiri yachemke, mimi ni mwenyekiti halali, na miana amor ni mama mwenyekit naona mnamchezea simba sharubu zakekuwa mpole Daudi1 mambo yanachemka miana amor kadai kuwa iyo ela ya uenyekiti huipati halali
unaongea na miana amor ndo huyu hapa stendi na begi lake wewe anza kuimba wimbo wa @nimeachwa mkuuNazima moto, sisubiri yachemke, mimi ni mwenyekiti halali, na miana amor ni mama mwenyekit naona mnamchezea simba sharubu zake
Aliniloga mkuu, ata wanakijiji walikua wanashangaa nimemkubali vip uyu mwenyekiti kumbe alitumia ndumbakumbe hata ww miana amor n ukweli hufurahii kuwa na Daudi1.
Inabidi tufanye siri yule mzee Daudi1 akijua tu anaenda kuniongezea dawa nakua zuzu kabisayakipatikana hayo mambo yako yatanyooka miana amor
Talaka yangu🤣🤣🤣miana amor unataka nini?
umesha jichanganya, wamekujaza umejaaTalaka yangu🤣🤣🤣
mkuu,. unadandia treni kwa mbele, mwenzio Tumwesige senior amenyosha mikono juu, akaamua aende zake kwa leo dada kule nako ameshakula Chaga, naona na wewe unakuja kujaunaongea na miana amor ndo huyu hapa stendi na begi lake wewe anza kuimba wimbo wa @nimeachwa mkuu
Mwenyekiti mwenyekitimkuu,. unadandia treni kwa mbele, mwenzio Tumwesige senior amenyosha mikono juu, akaamua aende zake kwa leo dada kule nako ameshakula Chaga, naona na wewe unakuja kuja
Naam Mjumbe, najaribu kurekebisha hawa vijana wanaojifanya wanaweza kukwea minaziMwenyekiti mwenyekiti
Hiyo tusubiri huruma za Abou ShaymaaEpisode inayofuata itakua lini? Watu watawowana humu bure😅
Umeanza eeeeeehKalpana umepotea upo??
Umeanza tabia mbaya, umekuwa kama Hilida bwana, umewekwa ndani tulia ila unataka kuruka ruka na vijana wasio na maanaUmeanza eeeeeeh
Kwa staili mm nipe tu talaka yanguKalpana umepotea upo??
Wala sina izo tabia mbaya ww ndo umeanza,upo na mm mama mwenyekiti unaanzaje kumuulia Kalpana iyo ni kazi yangu kuulizia wanakijiji wanawake na sio wwUmeanza tabia mbaya, umekuwa kama Hilida bwana, umewekwa ndani tulia ila unataka kuruka ruka na vijana wasio na maana
Mwenyekiti Fanya kazi yako Hawa vijana ipo siku watakuelewaNaam Mjumbe, najaribu kurekebisha hawa vijana wanaojifanya wanaweza kukwea minazi
niko makini kabisa, lazima wakae kwenye mfumo kijijini kuwe na nidhamuMwenyekiti Fanya kazi yako Hawa vijana ipo siku watakuelewa