Daudi1
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 14,563
- 22,839
HahahahJamani nilikuja kuwatembelea mara moja sasa narudi kwetu, maana mi sikuhizi naishi kule kwenye ghetto la jamii sports.
Ila wakati naondoka naomba DJ anisindikize na ule wimbo wa msanii phina;
do salalee! Tumwesige senior ameachwaa, amepigwa kibutii.