Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 14,666
- 18,541
Ulansi wa kunywa asubihi ndio mtamu:Mwenyekiti Daudi1 changamkia fulsa hii tupate ela yakunywea ulanzi😅😅
Debe mbili za ulanzi zinatosha kabisa Che mittogaMwenyekiti Daudi1 changamkia fulsa hii tupate ela yakunywea ulanzi😅😅
kweli kabisa, wajumbe tone tone inahitajika huku kuondoa hii alostoMsimuliaji kule juu kasema wazi kabisa anaomba tone tone kulipia ghalama zake:
Hivyo akikaa kimwa mjue sababu ni hiyo:
There is No Free Lunch Nowadays:
endelea kunywa mtori nyama utazikuta chiniMkuu hii mbona episodes za kichoyo sana sio kama kule aşalı Haitiwi kidole?kule unamwagika sana tofauti na huku
Labda tutumie njia za Kijasusi kwa kumtuma miana amor, chumbani kwa msimuliaji, avamie kama Maimuna:🥹Debe mbili za ulanzi zinatosha kabisa Che mittoga
Hiyo haikubaliki, miana amor nimemtuma anifuatie ulanzi,labda atumwe leo dada huyo anayaweza ya maimunaLabda tutumie njia za Kijasusi kwa kumtuma miana amor, chumbani kwa msimuliaji, avamie kama Maimuna:
mkuu nani sasa taja jinaMkuu
Unamfahamu Dada mdunguaji?, Mrembo kipofu je, tobo la panya? Mwalimu anataka, nizibe mdomo nisiseme hahaaHuyu anatusababishia vidonda vya macho buree nawashauri waraibu wenzangu tafuta mzigo uliokamilika huu wa kusotea na kuunga unga utajikuta unalala njiani huku umeshikilia usukani bandugu ila natumai mko bien(kicongo hicho yan vizuri). Jini
leo dada kuna kazi kwaajil yaki dearHiyo haikubaliki, miana amor nimemtuma anifuatie ulanzi,labda atumwe leo dada huyo anayaweza ya maimuna
Ila mwenyekiti unapenda kuturusha rohoUnamfahamu Dada mdunguaji?, Mrembo kipofu je, tobo la panya? Mwalimu anataka, nizibe mdomo nisiseme hahaa
mpaka mlete ulanzi debe mbiliIla mwenyekiti unapenda kuturusha roho
Huyu jamaa nae kaja kuwaje?!mpaka mlete ulanzi debe mbili
hapo chacha.. Da mduguaji naipata na mwalimu anataka.Unamfahamu Dada mdunguaji?, Mrembo kipofu je, tobo la panya? Mwalimu anataka, nizibe mdomo nisiseme hahaa
Amekuwaje tena?Huyu jamaa nae kaja kuwaje?!
Ratibq haieleweki.Amekuwaje tena?