Kifo cha hawara (Mkono Wa Jini)

si umesema hupendi vya dezo wewe, haya lipia nikusimulie
Nimesha lipia mbona:
Niliahidi kutoa 1GB leo na nimetoa:
Kuhusu kusimulia ni maamuzi ya msimuliaji:
Kwani ukisha mpa hela mwanamke unaweza kumlazimisha kulala kitandani kwako? Yaani uliko lipia?
 
Swala la kumchangia msimuliaji ni muhimu sana kama alivyo sema yeye ili amudu ghalama zake: Na sio swala la kumdhihaki mtu:

Duniani hakuna Cha bure wala Cha wageni:
 
Hahaha sasa si umemlipa msimuliaji?? nilipe na mimi niwe msimuliaji wako hahah
We jamaa unapenda sana ligi:
Pale juu umesema nikulipe ili unisimulie:
Ndio nakuuliza unataka nikulipe kiasi gani ili uifanye hiyo kazi, badala ya msimuliaji?
We sema tu utalipwa:
 
We jamaa unapenda sana ligi:
Pale juu umesema nikulipe ili unisimulie:
Ndio nakuuliza unataka nikulipe kiasi gani ili uifanye hiyo kazi, badala ya msimuliaji?
We sema tu utalipwa:
Mwenyekiti Daudi1 changamkia fulsa hii tupate ela yakunywea ulanzi๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ