filikunjombe kifo chake kimeniuma kulko alipokufa baba mzazi. ndo mwanasiasa pekee aliyekuwa ccm kimakosa.
hebu acha kufuru wewe kiumbe ,sio lazima uandike kila kitu humu vingine mezea tu,babako unamlinganishaje na mtu asiyekujua na wewe unamjulia kwenye luninga na magazetifilikunjombe kifo chake kimeniuma kulko alipokufa baba mzazi. ndo mwanasiasa pekee aliyekuwa ccm kimakosa.
Kalia wapi. . . .
hebu acha kufuru wewe kiumbe ,sio lazima uandike kila kitu humu vingine mezea tu,babako unamlinganishaje na mtu asiyekujua na wewe unamjulia kwenye luninga na magazeti
hebu acha kufuru wewe kiumbe ,sio lazima uandike kila kitu humu vingine mezea tu,babako unamlinganishaje na mtu asiyekujua na wewe unamjulia kwenye luninga na magazeti
Ubaya hatuchagui nani afe nani abaki, hatuchagui
Kwa kweli pangekuwa na hiyo option tungebatilisha hili suala.Ccm ilikuwa na hazina kubwa saaana ya watu wa Ku RIP lkn cyo DEO jamani.But RIP Brother DEO we are with you in this National changes we are facing.