Kifo cha Dkt. Magufuli: Rais wa China Xi Jinping atuma salamu za rambirambi. Asema China imepoteza rafiki wa kweli

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Rais wa China, Xi Jinping leo ametoa salamu za rambirambi kwa Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kufuatia kifo cha Hayati Dkt. John Magufuli kilichotokea Machi 17, 2021

Amesema kifo cha Dkt. Magufuli ni pigo kubwa kwa Watanzania, na China imepoteza rafiki mzuri. Ameongeza kuwa, Taifa hilo linathamini urafiki wake na Tanzania na lipo tayari kuimarisha ushirikiano kwa manufaa ya Nchi zote mbili pamoja na watu wake.

Taarifa zaidi:
Chinese President Xi Jinping on Tuesday extended condolences to the new Tanzanian President Samia Suluhu Hassan over the passing of the African country's former President John Magufuli on March 17.

Hailing Magufuli as an outstanding leader of Tanzania, Xi said that the former president made positive contributions to promoting friendly cooperation between China and Tanzania and between China and Africa during his lifetime.

His passing away is a great loss to the Tanzanian people and the Chinese people have also lost a good friend, Xi said.

China cherishes its profound traditional friendship with Tanzania and is ready to work with Tanzania to deepen the comprehensive cooperation partnership for the benefit of the two countries and the two peoples, he added.

Chanzo: CGTN
 
Wacha tuendelee kuomboleza msiba wetu but wajue virusi vyao ndiyo vimeleta yote haya.

Virusi vyao vimefanya tuwapoteze viongozi wetu Potential pamoja na makumi ya raia wenzetu.

Pumzika JPM 😭😭
 
Acheni kushambulia watu rudini Kijijini Gambosh misukule yenu inawangoja
Hao Mamluki ninao washambulia ni kina nani ? ni wewe sio ?
Sasa Wacha Ukweli ukuume
Mda wenu Unakuja mtakunya Goroli mbona

Aliekwambia nipo mjini katukia Chaka nipo kijijini mda mrefu
 
Back
Top Bottom