Kifo cha Dkt. Magufuli kuipasua CCM 2025

Unaweza ukadhania ni masuala ya hadithi za kudhania lakini ukweli ni kuwa mpaka sasa watanzania wengi wanaamini kuwa haikuwa jambo la kawaida.

Wengi wanaamini zilikuwa ni njama za wanaCCM kumuondoa kipenzi cha wanyonge na mtu aliyetetea wananchi wanyonge wa kawaida.

WanaCcm wanaopenda kuwakamua watanzania na kuliibia taifa lao ndio walifanya njama ili hayati JPM asiwepo maana aliwadhibiti ili wasiibe mali za umma.

Kwa wananchi kwenye uchaguzi wa 2025 hii ndio itakuwa fimbo kubwa kama hoja kuiadhibu CCM.

Maana itakuwa ndio kithibitisho kuwa CCM ni chama cha kutetea ufisadi.
JPM is dead and gone mkuu, vuta shuka simama piga mswaki ingia bafuni uoge halafu vaa nguo zilizopigwa pasi kisha uondoke zako. Ni mchana wa saa tisa kasorobo sasa hivi.
 
CCM haina nguvu zaidi ya upinzani. Kimsingi, upinzani dhaifu ndiyo umeifanya CCM kuendelea kuwa madarakani pamoja na uchakavu na ukale wake bila kusahau kukosa mwelekeo, ufisadi na umalaya wa kisiasa.
UPINZANI DHAIFU kivipi bc wakati huo upinzani hawashindani na CCM Bali dola. Bawacha wakifanya jogging, Polisi hawa hapa! CCM wakifanya jogging, Polisi wanafanya escort! Hebu mizani ya siasa iwekwe sawa halafu ndipo uone udhaifu wa wapinzani.
 
Hakuna Rais mpaka sasa aliyeua ari na misimamo ya kisiasa ya CCM kama Magufuli.
Aliendeleza ubaguzi wa maeneo kikabila, hakutaka kukosolewa, upendeleo dhahiri wa mikoa ya nyumbani kwao, alitesa watu, alibambika kesi, aliwaibia wenye kipato kutumia dola(TRA), aliwabagua hata viongozi waandamizi waliomtangulia.
Hatutasema vyama vingine maana haki za binadamu zilikiukwa.
Wengine walidiriki kumwita dikteta.

Kwa kifupiuongozi wa Magufuli ulikuwa si shirikishi bali a ONE MAN SHOW..
Mkuu fanya utafiti binafsi katka kipindi Cha uchaguzi wa ndani ya ccm kwa miaka iliyopita, watu waliochukua form za kuogombea ubunge, 100k x kwa idadi ya majimbo yote unajua ccm ilivuna sh ngp?? Hapo ndpo itapima ccm ilikubalika kwa kiwango kipi, maana hata wale ambao hatukujua Kuwa Ni ccm tukajua, Magu alikuwa 1 ila mwenye maono ya watz wengi
 
By all fairness, CCM kama chama kilikufa wakati wa JK. Ndio maana upatikanaji wa JPM kama mgombea wao iliacha maswali mengi. JK alishakiri kwamba yeye ndie alienda kikaoni na jina la JPM mfukoni. Rejea hotuba yake wakati wa mazishi ya JPM akijinasua na hearsay kwamba hakuwa anampenda JPM. Kwa maneno mengine hata huko CCM ndani ni one man show wakitumia ubovu wa Katiba kwamba rais ni mungu mtu na akiwa chamani kwake pia ni rais. Ndani ya CCM Mwenyekiti (rais na amirijeshi) amtakaye huwa. Kinachofuata ni matumizi ya dola na vyombo vyote kuibakisha madarakani.

Kama huamini kama CCM imekufa au ni ya watu wachache, itisheni uchaguzi usimamiwe ki huru na haki utaona maajabu! Kwa ubunge watapata less than 40%. 60% watagawana ACT wazazendo 10% na CHADEMA 50%. Hata kwa urais hali ni hiyo hiyo hata CCM wamweke nani. Hata hao wanachama 8m wa CCM ni nadharia tu lakini ki uhalisia hawapo. CCM ilishakufa na wenyewe wanajua. JPM na sarakasi zake zote hakuwa mwumini wa chama chake ndio maana hakuwa na impact yoyote zaidi ya kutumia pesa za serikali atakavyo, tena kibaguzi akijifunika ngozi ya CCM. CCM imekufa its just a matter of time tutaambiwa mazishi na matanga yake kana KANU na cha mzee Keneth Kaunda, Banda Malawi na ZANU. Stay tuned!
Mkuu umeandka vzr Sana, swal langu Ni dog tu unazungumzia Cha kipi Cha chadema?? Hiki Cha Sasa Cha kubadili gia angani?? Au Cha silaa?? Au Cha .com kinachoendeshwa kidigital?? Kipi??
 
Mkuu fanya utafiti binafsi katka kipindi Cha uchaguzi wa ndani ya ccm kwa miaka iliyopita, watu waliochukua form za kuogombea ubunge, 100k x kwa idadi ya majimbo yote unajua ccm ilivuna sh ngp?? Hapo ndpo itapima ccm ilikubalika kwa kiwango kipi, maana hata wale ambao hatukujua Kuwa Ni ccm tukajua, Magu alikuwa 1 ila mwenye maono ya watz wengi
alikuwa hatari kwa taifa
 
Mkuu JPM au Jiwe kama alivyojiita mwenyewe alikufanyaje personally nataka kujifunza
Mkuu Kaskazini wana chuki mbaya sana, wanasahau kwamba bila JPM watoto na wajukuu zao wangeendelea kusoma kwenye vitabu kuwa tuliwahi kuna na treni ukanda ule.Acha jamaa apumzike lakini mwendo aliupiga.

Na wanachomchukia nacho ni kukata mirija yao ya unyonyaji wa rasilimali za nchi kupeleka kaskazini. Uzalishaji kule hoi, wanategemea ku--ba sehemu zingine
 
pingu, sandarus, utekaji, watu kupotea au kupigwa risasi na kutupwa baharini au mtoni. hata haya hujui? au unauliza tu?
Mkuu ukitafuta namna ulivyo eleza nikana kwamba unajua taasis inavyofanya kazi ila umeamua kufanya uamuzi wa kutoa maoni kana kwamba hufaham taasis zinavyofanyakazi... Anyway Asante mkuu kwa majib
 
Mkuu Kaskazini wana chuki mbaya sana, wanasahau kwamba bila JPM watoto na wajukuu zao wangeendelea kusoma kwenye vitabu kuwa tuliwahi kuna na treni ukanda ule.Acha jamaa apumzike lakini mwendo aliupiga.

Na wanachomchukia nacho ni kukata mirija yao ya unyonyaji wa rasilimali za nchi kupeleka kaskazini. Uzalishaji kule hoi, wanategemea ku--ba sehemu zingine
Mobutu naye anatetewa?
 
Yawezekana pia yasingefanyika mauaji ungekufa wewe, waulize wakazi wa kibiti wanajua hili.

Uhuru usio na mipaka ni vurugu ndio maana wewe kama unaishi na wazazi wako huwezi kupita na demu sebuleni walipokaa wazazi wako ukaingia nae chumbani kumkaza. Au huwezi kukubali binti yako akupite sebuleni ulipokaa aingie chumbani na jamaa yake kukazwa japo ni sehemu ya uhuru.

Huwezi kujiona mjanja sababu kuna mtu usiyempenda amekufa wakati hata ndugu zako unaowapenda wamekufa na wataendelea kufa. Yawezekana hapo huna wazazi au mmojawapo alishakufa.
Sawa lakini tumshukuru mwenye enzi kwa kutuondolea yule mtu katili
 
Unaweza ukadhania ni masuala ya hadithi za kudhania lakini ukweli ni kuwa mpaka sasa watanzania wengi wanaamini kuwa haikuwa jambo la kawaida.

Wengi wanaamini zilikuwa ni njama za wanaCCM kumuondoa kipenzi cha wanyonge na mtu aliyetetea wananchi wanyonge wa kawaida.

WanaCcm wanaopenda kuwakamua watanzania na kuliibia taifa lao ndio walifanya njama ili hayati JPM asiwepo maana aliwadhibiti ili wasiibe mali za umma.

Kwa wananchi kwenye uchaguzi wa 2025 hii ndio itakuwa fimbo kubwa kama hoja kuiadhibu CCM.

Maana itakuwa ndio kithibitisho kuwa CCM ni chama cha kutetea ufisadi.
Mkuu

CCM ipi wakati ilikufa kitambo na JPM kajitahihidi kuleta CCM Mpya ambayo majoka yaliyokuwa yamejificha kwenye vichunguu yamejitokeza nje lakini wananchi wanaipuuzia kwa vitendo ilivyoanza kuvifanya.

*The endorsement rate has dramatically dropped beyond the limit to be favored anymore.
 
Kwani ccm iliungana lini ukiacha kipindi cha chama kimoja? Au unataka kumtakatisha dhalimu nini? Kinachofanya hicho kivuli kiitwacho ccm kubaki masikioni mwa watu ni vyombo vya dola. Kipindi cha dhalimu ndio kulitokea siasa na chaguzi za kishenzi ile mbaya. Kama alikuwa anatetea wanyonge, kipi kilimfanya anajisi chaguzi za nchi hii?
Unaweza ukadhania ni masuala ya hadithi za kudhania lakini ukweli ni kuwa mpaka sasa watanzania wengi wanaamini kuwa haikuwa jambo la kawaida.

Wengi wanaamini zilikuwa ni njama za wanaCCM kumuondoa kipenzi cha wanyonge na mtu aliyetetea wananchi wanyonge wa kawaida.

WanaCcm wanaopenda kuwakamua watanzania na kuliibia taifa lao ndio walifanya njama ili hayati JPM asiwepo maana aliwadhibiti ili wasiibe mali za umma.

Kwa wananchi kwenye uchaguzi wa 2025 hii ndio itakuwa fimbo kubwa kama hoja kuiadhibu CCM.

Maana itakuwa ndio kithibitisho kuwa CCM ni chama cha kutetea ufisadi.
 
Magufuli hakuwa na ushawishi kanda ya ziwa,bali alitumia makundi ya kihalifu na kiburi cha madaraka kulazimisha ionekane ana ushawishi. Hakutaka wapinzani wafanye siasa kwa mujibu wa sheria, ili kuhadaa umma kuwa ameufuta upinzani kwa ushawishi wa kisiasa. Ndio maana wakati wa uchaguzi aliigiza uchaguzi wa kihayawani kufanyika, na kutangazwa kwa idadi ya kura ambazo hata wapiga kura hawakufika. Katafute wajinga ndio uwahadae.
apana lets be fair Magufuli alijitahidi kila mkoa kugusa kimaendeleo angalia Miradi ya Dodoma uwanja ndege msalato, barabara za jiji, mradi wa maji na mji wa serikali/ikulu,hospitali kuu ya dodoma nk,kwa Dsm angalia flyovers,barabara njia 8,Kigoma barabara Nyakanazi na uboreshaji wa Bandari kuu, meli ziwa Nyasa, Karagwe barabara, angalau musoma hospitali kanda,je vipi daraja la Wami pwani kuelekea kaskazini,kwa Arusha mradi kabambe wa maji jiji na barabara njia mbili hadi himo etc,SGR ilianzia DSM Morogoro hadi Singida, mradi wa Umeme Rufiji Pwani, Miradi ya standi na masoko kila mahali kila mahali mwanza ndiyo inajengwa! ujenzi wa mashule na vituo vya afya kila mahali nchini etc.

Mnyonge Mnyongeni haki yake mpeni. Huyu ndiye Rais Pekee aliyesukuma maendeleo kila sehemu ya nchi angalau bila kusahau kanda ya ziwa kidogo sana ambapo tawala zilizopita ziliibagua by 100%. Mfano uwanja ndege Mwanza aibu miaka 30 mbovu kabisa wakati maeneo mengine KIA,Songwe na JNIA mkeka kimataifa, barabara za jiji Mwanza na miundo mbinu ya barabara ya jiji ni Zero! angalia masoko na stendi mapya za mabasi ya Dodoma, DSm, Morogoro etc. Vyuo vikuu Kanda ya Pwani, Kusini, Arusha etc kanda ya ziwa hakuna!Je mlitaka hali hìi ya ubaguzi wa kanda ya ziwa iendelee mpaka lini?

The regeneration of socio economic imbalancies.Hata hivyo Magufuli hajaisaida sana kanda ya ziwa kivile ukiacha daraja la Busisi tu. Watu wanaona na kufuatilia huko mbele italeta lawama kwa CCM. SO FAR MIRADI HII NI UTEKELEZAJI WA ILANI YA UCHAGUZI WA CCM iwapo kanda ya Nyonyo itaendelea kusahaulika kimkakati 2025 Wapinzani watatumia kete hii kurudisha nguvu na ushawishi walioupoteza kanda hii kipindi cha Magufuli. CCM BE VIGILANT AND ACT SRTATEGICALLY ON THIS ISSUE OF LAKE ZONE. Kazi iendelee
 
Unaweza ukadhania ni masuala ya hadithi za kudhania lakini ukweli ni kuwa mpaka sasa watanzania wengi wanaamini kuwa haikuwa jambo la kawaida.

Wengi wanaamini zilikuwa ni njama za wanaCCM kumuondoa kipenzi cha wanyonge na mtu aliyetetea wananchi wanyonge wa kawaida.

WanaCcm wanaopenda kuwakamua watanzania na kuliibia taifa lao ndio walifanya njama ili hayati JPM asiwepo maana aliwadhibiti ili wasiibe mali za umma.

Kwa wananchi kwenye uchaguzi wa 2025 hii ndio itakuwa fimbo kubwa kama hoja kuiadhibu CCM.

Maana itakuwa ndio kithibitisho kuwa CCM ni chama cha kutetea ufisadi.
wee taga la mwendazake a.k.a sukuma gang utasubiri sana, CCM haipasuki ng'o
 
Back
Top Bottom