mgt software
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 13,793
- 7,165
Utunzi wa hadithi ya kujitungia kama hii INATUFUNDISHA NINI?CCM ni sawa na kanisa katoliki duniani namna lilivyojiwekea mizizi na kuwa na waumini wengi dunia kushinda madhehebu mengine yote!
Kuna wahumbiri mbalimbali wanajitokeza na huwa wana vuma sana ila baada ya muda huwa wanapotea na makanisa yao yanageuka kuwa magofu (white elephant) wakati huo kanisa katoliki linazidi kuimalika na waumini wake wanazidi kuongezeka! Hii inatokana na misingi ya mafundisho yao yanayoendana na uhalisia wake!
Hivyo hivyo kwa CCM ndivyo inavyozidi kuimalika kutokana na chama hicho kuamua kusimamia misingi yake ambao vyama vingine vinazidi kuporomoka kutokana na ubabaishaji na utapeli uliojifisha ndani yake!
Huoni kazi kubwa anayoifanya kinana na sekretariat yake ya kusimamia na kuikosoa serikali inapojaribu kwenda kinyuma na misingi ya CCM?Acha kulidhalilisha kanisa na maccm. Ni misingi gani maccm wanayosimamia inayolingana na kanisa. Mmeanza kutugawa wakristu kwa waislam. Sasa mmegeukia ktk kugawa wakristu kwa wakristu. Hatimae mtatugawa waislamm ktk madhehebu ndani yake. Eg shia suni nk. Inshalla. Mungu tunusuru umoja wetu udumu
CCM ni sawa na kanisa katoliki duniani namna lilivyojiwekea mizizi na kuwa na waumini wengi dunia kushinda madhehebu mengine yote!
Kuna wahumbiri mbalimbali wanajitokeza na huwa wana vuma sana ila baada ya muda huwa wanapotea na makanisa yao yanageuka kuwa magofu (white elephant) wakati huo kanisa katoliki linazidi kuimalika na waumini wake wanazidi kuongezeka! Hii inatokana na misingi ya mafundisho yao yanayoendana na uhalisia wake!
Hivyo hivyo kwa CCM ndivyo inavyozidi kuimalika kutokana na chama hicho kuamua kusimamia misingi yake ambao vyama vingine vinazidi kuporomoka kutokana na ubabaishaji na utapeli uliojifisha ndani yake!
CCM ni sawa na kanisa katoliki duniani namna lilivyojiwekea mizizi na kuwa na waumini wengi dunia kushinda madhehebu mengine yote!
Kuna wahumbiri mbalimbali wanajitokeza na huwa wana vuma sana ila baada ya muda huwa wanapotea na makanisa yao yanageuka kuwa magofu (white elephant) wakati huo kanisa katoliki linazidi kuimalika na waumini wake wanazidi kuongezeka! Hii inatokana na misingi ya mafundisho yao yanayoendana na uhalisia wake!
Hivyo hivyo kwa CCM ndivyo inavyozidi kuimalika kutokana na chama hicho kuamua kusimamia misingi yake ambao vyama vingine vinazidi kuporomoka kutokana na ubabaishaji na utapeli uliojifisha ndani yake!
Misingi gani inasimamia hiyo CCM?!,ni hii ya kifisadi?.Mimi ni mkatoliki,naomba usifaninishe kanisa na genge la wahuni.Ndo maana hata makanisa mbali mbali,likiwemo Katoliki,kuipinga Serikali na CCM jinsi wanavyolazima mambo kwa manufaa ya watu wachache badala ya ya maslahi mapana ya taifa.
Huoni kazi kubwa anayoifanya kinana na sekretariat yake ya kusimamia na kuikosoa serikali inapojaribu kwenda kinyuma na misingi ya CCM?
Mambo ya kanisa yanaingiaje tena kwenye siasa hebu usichanganye dini na siasa.