Kifo cha CCM kimetimia

ww uanona niwe Chama gani?
NSSF, PSPF LAPF hiyo michango si wanakusanya kila siku?
Ni kiongozi gani wa Chama cha siasa hajakopa katika mifuko hii tena wengine zaidi ya mifuko mi3 na kulala mbele
nakushauri KAA NJIA KUU acha siasa za kinafiki wakati huvijui vyama
 
Hilo liko wazi. Si kwamba naichukia ccm, ila ni ukweli usiopingika kuwa wamefikia "saturated point" mipango na mikakati yao ya maendeleo katika nchi hiyo.
 
Makolokolo wacha hizo wastaafu kufa bila mafao imekuwa kawaida, subiri yamfike mzee wako ndiyo utajua.
 

Acha upunguani rafiki, wewe umeshiba hapo unafikiri kila mtu amevimbiwa kama wewe? Jaribu kujifikirisha basi hata kidogo, ingawaje unaonekana ni mnufaika wa hizi sera na ukandamizaji wa kishetani.
 
Itafikia wakati hata wake zenu wakishindwa kushika mimba mtailaumu ccm

Hili mbona liko wazi ndugu? Huyo Sokoine wenu wapili amelishindwa kabisa, Ikulu ndiyo atapaweza? Ama ni kazi raisi tu kuwa Rais siku hizi, eeh?
 

Ungetueleza ni namna gani Padre Slaa na CHADEMA watawaletea mlo
 
Atakae Ichagua Ccm Mwaka Huu Apigwe Tu Maana Hatuna Njia Nyingine Kama Ni Kuwaelimisha Tumewaelemisha Vya Kutosha.

Naunga mkono na ccm wapigwe tu tumechoka sasa! Pinda tutakukumbuka sana kwa kauli hii mbaya na chochezi kwa taifa letu.
 
Itafikia wakati hata wake zenu wakishindwa kushika mimba mtailaumu ccm

Matokeo umeyapata au bado?
silaha yetu ni box la kura tu!!

Matokeo ya uchaguzi wa serikali za mitaa baada ya marudio ya uchaguzi.
1: Sengerema mitaa 21, ccm5,chadema15.
2:Magu mitaa18, ccm4,chadema14.
3: Ilemela, mitaa189, ccm29,cuf3, UDP2,chadema155.
4:Nyamagana mitaa175, ccm32, Chadema142.
5:Busega vijiji32, ccm5,chadema27.
6:Bariadi vijijini, vijiji 49, ccm8,Chadema41.
7:Morogoro mjini, mitaa168, ccm45, Chadema 123.
8:Singida mashariki, vijiji140, ccm22, Chadema118.
9:Musoma mjini, mitaa 179, Ccm 0, Chadema 179.
10:Bunda, vijiji 119, ccm7,chadema 112.
11:Tarime, vijiji116, ccm24,chadema92.
12:Ukerewe, vijiji76, ccm23,Cuf3,Chadema50
 
Maelezo yako ya jumla mno hayajitoshelezi kwanza tutajie hiko kijiji chenu kinaitwaje na kipo mkoa gani hapa Tanzania?
 
Kuichagua CCM ni kumchagua shetani. Ikatae CCM na vibaraka wake wote.
 
Acha upunguani rafiki, wewe umeshiba hapo unafikiri kila mtu amevimbiwa kama wewe? Jaribu kujifikirisha basi hata kidogo, ingawaje unaonekana ni mnufaika wa hizi sera na ukandamizaji wa kishetani.
nenda kajambe huko ndio uje na linaloeleweka
KWANINI UNAMLAZIMISHA MTU MATAPISHI YAKO kila mtu ana uhuru wake maana sikuelewi kuwa na akili za kushikiwa eti kuna chama kisichokopa au kula RUZUKU
KM hutaki Topic yako ichangiwe ifunge basi lakini sisi sio bendera kufuata majibu yako uliyonayo kichani tayari
 
Ungetueleza ni namna gani Padre Slaa na CHADEMA watawaletea mlo

Kijana acha ushabiki wa kijinga, hoja kuu hapa ni namna gani lichama lenu linatesa Wastaafu. Kwakweli nimeumia sana, hivi hata hao wakubwa wananyanyasika namna hii?

Ifike mahala muwe na huruma na utu basi.
 

Wewe si bure, nafikiri ni wale wa buku saba! Hivi nimekulazimisha kuchangia? Hapa naelezea masikitiko yangu tu, kwa yale niliyo yashuhudia huko kijijini. Chama chenu cha hovyo hovyo sana mkuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…