Kifo cha CCM kimetimia

Hivi wewe tatamadiba akili zako ziko wapi mk wako nakwambia mwaka huh mtuibii mtatuua hakiyamungu
 
Uzi umepitwa na Wakati huu unasema chadema kuchukua nchi wakati sasa ni UKAWA kuchukua nchi!!!
 

Wapunzike kwa amani
 
Popote nitapo piga kura diwan cdm, mbunge cdm, raisi cdm kuna mwingine jaman nimemsahau hata kama cjawai enda kwenye campain si discus over hakuna ccm wakushindana na mtu yeyote hilo ni dekio lililo sha tuniwa kwenye sakafu mbovu
 
Habari wapendwa wangu? Nipo ziarani huku kijijini kwetu, kwa kweli hali niliyokutana nayo huku inasikitisha sana! Familia nyingi mlo ni taabu kweli kweli, watu wana hangaika sana, maisha magumu mno kwao, kwa kifupi wamekata tamaa kabisa ya haya maisha.

Kilichonisikitisha zaidi nimekutana na baadhi ya wastaafu, maisha yamewapiga vibaya mno. Wananiambia huu ni mwezi wa sita tangu wamestaafu, lakini mafao yao hayaeleweki yatatoka lini! Jamani CCM mmefikia hatua ya kudhurumu Wazee? Mnafikiri hawa watu wanaishije? Kwanini wasipate pesa zao kwa wakati?

Mwigulu badala ya kuhangaikia kwenda Ikulu, ungepigania hili kwanza. Fanya juu chini hawa wastaafu wapate pesa zao kwa wakati, unafikiri wanaishije na hawana mishahara tena? Wewe unaweza kuishi zaidi ya mwezi bila kipato chochote?

Wamenihakikishia walifuata taratibu zote, ikiwa ni pamoja na kuwasilisha nyaraka zao zote kwenye ofisi za PSPF, lakini hadi leo mambo hayaeleweki tu!

Mkitaka ahueni ya maisha ya kipindi cha miaka 10 ijayo, msiichague kabisa CCM ndugu zanguni, ni waharibifu sana!!
 
Nashangaa sana, ina maana Mwigulu ameshindwa kabisa kumaliza hili?
 
ww uanona niwe Chama gani?
NSSF, PSPF LAPF hiyo michango si wanakusanya kila siku?
Ni kiongozi gani wa Chama cha siasa hajakopa katika mifuko hii tena wengine zaidi ya mifuko mi3 na kulala mbele
nakushauri KAA NJIA KUU acha siasa za kinafiki wakati huvijui vyama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…