Kifo cha CCM kimetimia

CHADEMA wabinafsi sana. Kani si mpo kwenye ndoa ya UKAWA?
 
Miezi ya mwishomwisho kujifariji, endeleeni tu kujifariji baada ya uchaguzi msije tena na swaga zenu za nchi haitatawalika coz hmjui rais ajae kama atakuwa mvumilivu kama JK.
RAIS bora lazima atoke ndani ya CCM

mkuu mpaka sasa hv tembo wakiwaona ccm wanajificha
 

mkuu kwa sasa ni UKAWA sio CDM, ustake kutuvuruga
 
Teh Teh endeleeni kujifariji na kufanya commedy mkifikiri Ikulu ni kama ofisi za ufipa...
Na wahakikishia October mtakimbia mitandao ya kijamii...

Lakini hawamzidi yule wa sasa alivyofikiri URAIS ni sawa na kijiwe cha KAHAWA,sasa kila siku anakimbia nyumba yake na kuishi angani kama ndege..............
 
Binafsi naunga mkono mtoa hoja kuwa imesemekana Duniani kuwa vyama kongwe vinavyojiona kuwa wenye hatimiliki za nchi na kuanza kutumia vyombo vya dola kukandamiza watu na kuwanyima sauti mara nyingi huonyesha hicho chama kimechokwa na wananchi. Mtindo ambao serikali inayotumia hivi sasa hukataliwa na kila mtu watu huuliwa wakadia haki zao,hutekwa na kuteswa hakuna maamuzi yoyote ya serikali! Watanzania tusirudie kosa mwaka huu tujaribuni kungine CCM bac
 
CCM bado mnajifariji na maneno ya Nyerere kuwa rais bora tatoka CCM?
 

Hujamalizia una ripoti kutoka wapi???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…