tulieni mliwe vizuri! Mliyataka wenyewe! Hiyo ndiyo kasi mpya na maisha bora kwa kila mtanzania!!
Kusafirishwa nguzo za umeme mpaka mombasa halafu kurudisha nchini mwenyekiti wa CCM -MbeyaWadau
1. Kusafirisha meno ya tembo kinyemela--abdulaman kinana (CCM)
2. Maghorofa kuanguka, kampuni ya diwani wa CCM ndio mmiliki
3. Mv. Spice Islander, mmiliki mbunge wa CCM (haina viwango)
4. Kuua watu na kuwakata viungo, muhusika diwani wa CCM (wandwi maguru)
5. Huuzwaji wa dawa za ukimwi bandia, kampuni ya M/kiti wa CCM-dsm
6. Kuua mashirika ya serikali kama uda--muhusika iddi simba (CCM)
7. Ufisadi BoT--muhusika ni basil mramba (CCM)
8. Kuiba wake za watu--mwigulu na diwani wa CCM-iringa bw. elia mgwila
9. Udhaifu wa serikali-JK (CCM)
10.Chanzo cha kuleta tofauti za kidini nchini--steven wassira (CCM)
Je ?? hii serikali inatakiwa vipi kuendelea kuwepo madarakani ?
Tulieni mliwe vizuri! Mliyataka wenyewe! Hiyo ndiyo kasi mpya na maisha bora kwa kila mtanzania!!
Noor hivi kwanini kule TANURU walikupiga BAN?
ndo mwisho wa ccm haswaaa..TANURU LIMEJIPAMBANUA KUWA NI GAMBAZ BRANCH
Ukitaka kupima mwisho wa chama chochote cha siasa/ serikali yake ni pale kinapoanza kukiuka misingi muhimu ya haki za binadamu ,matumizi ya nguvu kupita kiasi kutumia ubabe / vitisho ktk maamuzi yake ,unapoona vyombo vya dola vinaacha kuwatumikia wananchi na kuanza kuwatumikia watawala na chama tawala ufahamu kuwa utawala huo unakaribia mwisho wake
Kama hizi ndiyo dalili basi baada ya Azimio la Arusha kuanza kutekelezwa, huo ndiyo ulikuwa mwisho wa chama kuwepo kwa sababu kitendo hicho kilikuwa ni ukiukwaji wa haki za msingi za binadamu ambacho kwako huo ni mwanzo wa anguko la chama kama Article 9 and Article 17 linavyoanisha,Ukitaka kupima mwisho wa chama chochote cha siasa/ serikali yake ni pale kinapoanza kukiuka misingi muhimu ya haki za binadamu.
Mwl. Nyerere alifanya maamuzi ya kibabe kwa kutuhamisha kwa nguvu kutoka katika vijiji vyetu na kutupeleka ambako hatukutaka na kwa kufanya hivyo alikiuka misingi ya haki za binadamu Article 13 pale inaposema,matumizi ya nguvu kupita kiasi kutumia ubabe / vitisho ktk maamuzi yake ,unapoona vyombo vya dola vinaacha kuwatumikia wananchi na kuanza kuwatumikia watawala na chama tawala ufahamu kuwa utawala huo unakaribia mwisho wake
sijakuelewa kabisa yaani. sidhani kama kuna serikali iliyokuwa kimya kama hii, nashangaa hata haya maguvu unayosema unamaanisha nini. au unaota?Ukitaka kupima mwisho wa chama chochote cha siasa/ serikali yake ni pale kinapoanza kukiuka misingi muhimu ya haki za binadamu ,matumizi ya nguvu kupita kiasi kutumia ubabe / vitisho ktk maamuzi yake ,unapoona vyombo vya dola vinaacha kuwatumikia wananchi na kuanza kuwatumikia watawala na chama tawala ufahamu kuwa utawala huo unakaribia mwisho wake