Kifo cha CCM kimetimia

Ccm sio chama cha wakulima na wafanyakazi, bali ni genge la wahujumu maslahi ya wa watanganyika na watanzania! Cheki kwenye kuelekea kupata katiba mpya ccm imekuwa kikwazo!
Ccm ndio baba wa amani na mshikamano wetu, hatuwezi kubali kuongozwa na magaidi ya chadema, ht iweje
 
5. Kuna wengi wanaoutaka urais kupitia kwao, hawatapaacha salama wasipopitishwa. 6. Katiba mpya na muumdo utakaotokana nayo utaiacha ccm hoi.
Mnajifanganya kweli, ndio nyie mliokuwa mnadhani katiba mpya itawaingiza madarakani. Wafu mna tabu sana. Ccm ni moja daima
 
Ccm idumu milele na milele, hatutaki haya makundi ya kihuni huni, ya magaidi, ya wanywa gongo, ya wazinzi na wapora wake za watu
 
Mabadliko yapo ndani ya ccm yaani utawala huu ukimaliza unakuja mwingine unaotokana na chama kubwa ccm
 
5. Kuna wengi wanaoutaka urais kupitia kwao, hawatapaacha salama wasipopitishwa. 6. Katiba mpya na muumdo utakaotokana nayo utaiacha ccm hoi.

asante kwa nyongeza!
'c.c.yem ni chama cha' mashetwani
 
Mabadliko yapo ndani ya ccm yaani utawala huu ukimaliza unakuja mwingine unaotokana na chama kubwa ccm

Kwlei alie vimbewa hamjui mwenye njaa! Lakini yana mwisho haya,hata wakoloni kuna siku walifungasha virago.
 
yote ni mawazo feki kama ccm ikianguka unafikiri nani aliyekamili ataongoza taifa hili. Cdm ni saccos hujui? Mbulula we yaani hata leo najua we ni mshika pembe tu

unapotoa mawazo yako usilazimishwe na akili za kichama lenga ukweli usio na chembe ya ukerketwa wa ki c.c.m.
Nchi hii itaongozwa na chadema tu toka 2015.
 
kula 'like' mkuu!
'chadema ni mpango wa allah'
 
hii ni zaidi ya mabadiliko ya karne kwani ukifika vijijini c.c.m haikubaliki hata chembe.
Wamebaki wazee wa enzi za tanu tu,na wao wandhani wanaenda kumchagua nyerere kumbe wana tuchagulia wahujumu uchumi.
 
mleta mada amevurugwa asbh asbh

hulka yako na matendo yako yatatiliwa mashaka vizazi na vizazi ,vilivyopo na vijavyo.
Sijawahi ona hata siku moja uchangie hoja za msingi na zenye mashiko kwenye jukwaa!
 
ccm idumu milele na milele, hatutaki haya makundi ya kihuni huni, ya magaidi, ya wanywa gongo, ya wazinzi na wapora wake za watu

unajifariji kijana chadema ni mpango wa allah kila aupingaye na alaaniwe!
 
Yote ni mawazo feki kama ccm ikianguka unafikiri nani aliyekamili ataongoza taifa hili. CDm ni saccos hujui? Mbulula we yaani hata Leo najua we ni mshika pembe tu
kama CDM ni saccos mbona mnahangaika usiku na mchani kuizulia mambo ya kipuuzi? Wapuuzi kweli nyie!
 
unapotoa mawazo yako usilazimishwe na akili za kichama lenga ukweli usio na chembe ya ukerketwa wa ki c.c.m.
Nchi hii itaongozwa na chadema tu toka 2015.
Khaa!! Pole sana. Akili za kina Lema na Sugu si za kuongoza nchi. Ni za kuongoza magenge yao.
 
Toeni ujinga huu,mmefanya research gani mpaka mseme ccm itaanguka,ccm wamepata kata 23 kati ya 27 mwezi uliopita,ccm inakubarika visiwan kwa aslimia 90 cuf asilimia 8 na cdm 0.6% lindi ,mtwara ccm inaongoza kwa asilimia 80 sasa ccm itaanguka kivip,na chama gan kitaishinda ccm sio mnaropoka tu bila kufanya extensive research.
 
Ccm ndio baba wa amani na mshikamano wetu, hatuwezi kubali kuongozwa na magaidi ya chadema, ht iweje

Hiyo amani iko wapi watu hawana haki na faida za rasilimali zao.Madini yanachimbwa kila kukicha jamiii zinazozunguka machimbo mrahaba wa huduma za jamii hawapati? Watu wanashinda mlo mmoja kwa siku? Nadhani kunashida ujaiona, kasome "Pedagogy of the oppressed by Paul Freire".:help:
 
Ccm idumu milele na milele, hatutaki haya makundi ya kihuni huni, ya magaidi, ya wanywa gongo, ya wazinzi na wapora wake za watu

unaropoka bure,sred nzima imejaa uharo wako tu! buk 7 zitakuwehusha msukule wewe!!! Jitambue!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…