kumbe huko ccm mtu akisema kweli anaitwa chizi??Kijana rudi kijijini maisha ya mjini yatakupa uchizi
Ndo maana kapuya akesema watoto wao wanauza madawa ya kulevya na huwaolizwi nani atashindana na serikali??Ndani ya ccm watoto wa vigogo hawagusiki!
Mimi naona hamna kosa kabisa kwenye huu mfumo unasema wakurithishana.Labda sijakuelewa vzr wamerithishana vipi.mfn kalenga huyo mtt wa Mgimwa wamempigia kura Ridhiwani kapigiwa kura.Wewe unataka kuniambia katiba mpya tuweke kipengele SIO RUHUSA BABA YAKO AKIWA MBUNGE,MJUMBE WA MTAA,RAIS MTOTO KUGOMBEA NAFASI YAKE?Mawazo mgando hayo wewe kama humtaki mtu usimpigie kura basi.Kama mtu havunji katiba ya nchi yupo sahihi hamna ubaya.Nionalo kwako ni roho ya kwanini tuu.Nasema raia wa kawaida sina hata ndugu tuseme balozi lakini kwa hili unalosema unakuwa unaleta ubaguzi ambayo ni dhambi mbele za wanadamu wenzako na kwa MUNGU pia.Kwanza salam
nasema ccm si chama cha siasa tena kwa sababu kimeacha misingi yake na kuanza kufenya kazi kwa kutumia ile misingi aliyoikataa mwasisi wake baba wa taifa nikiangalia njia wanazotumia ccm kupata viongozi wake nakumbuka usemi aliowahi kuniambia mwalimu wangu kuwa kila mzazi anamwandaa mtoto wake ili aje awe mrithi wake kwa maana nyingine mkulima anamwandaa mtoto wake ili aje kuwa mkulima na kiongozi anamwandaa mtoto wake ili aje kuwa kiongozi nasema hivyo kwa sababu ya mfumo huu walioanza kuutumia ccm kuwa kila nafasi ya kiongozi itakayotokea itajazwa na mtoto wa kiongozi huu ni mfumo wa hatari sana na utakuja kuirudisha nchi hii kwenye mfumo wa kifalme na ninawaomba wananchi msikubali kushabikia mfumo huu ukizoeleka tutakuja kujutia hebu angalia viongozi wa ccm ulinganishe na viongozi wa vyaama vingine mfano Nape baba yake alikuwa Moses mnawie kiongozi wa ccm, Ali Kigoma baba yake alikuwa Kigoma Malima kiongizi wa , makongro Nyerere , vita Kawawa, Zainabu Kawawa, Zainabu Gama ,watoto wa sokoine,arusha tuliona alipofariki mbunge Sumari aliteuliwa mtoto wake Sioi sumari na kana sio wananchi wa arusha kukataa utawala wa kifalme leo angekuwa mbunge . Angalia kalenga amefariki mginwa ameteuliwa mtoto wake ANGALIA CHALINZE Ridhiwani kikwete ndie mgombea mfumo huu na wanaccm wanaushabikia hivi hakuna mwana ccm asie kiongozi mwenye mtoto anaeweza kuwa kiongozi?? mimi sijui lakini kwa maoni yangu huu ni mfumo mbaya usiotakiwa kushabikiwa na mtu eyyote na niwakupigwa vita kwa nguvu zote
Mimi naona hamna kosa kabisa kwenye huu mfumo unasema wakurithishana.Labda sijakuelewa vzr wamerithishana vipi.mfn kalenga huyo mtt wa Mgimwa wamempigia kura Ridhiwani kapigiwa kura.Wewe unataka kuniambia katiba mpya tuweke kipengele SIO RUHUSA BABA YAKO AKIWA MBUNGE,MJUMBE WA MTAA,RAIS MTOTO KUGOMBEA NAFASI YAKE?Mawazo mgando hayo wewe kama humtaki mtu usimpigie kura basi.Kama mtu havunji katiba ya nchi yupo sahihi hamna ubaya.Nionalo kwako ni roho ya kwanini tuu.Nasema raia wa kawaida sina hata ndugu tuseme balozi lakini kwa hili unalosema unakuwa unaleta ubaguzi ambayo ni dhambi mbele za wanadamu wenzako na kwa MUNGU pia.
Najua utanikosoa ila ukweli ni ukweli tuu hata kama inauma.
Wa kwanza.Nonsense!
Mimi naona hamna kosa kabisa kwenye huu mfumo unasema wakurithishana.Labda sijakuelewa vzr wamerithishana vipi.mfn kalenga huyo mtt wa Mgimwa wamempigia kura Ridhiwani kapigiwa kura.Wewe unataka kuniambia katiba mpya tuweke kipengele SIO RUHUSA BABA YAKO AKIWA MBUNGE,MJUMBE WA MTAA,RAIS MTOTO KUGOMBEA NAFASI YAKE?Mawazo mgando hayo wewe kama humtaki mtu usimpigie kura basi.Kama mtu havunji katiba ya nchi yupo sahihi hamna ubaya.Nionalo kwako ni roho ya kwanini tuu.Nasema raia wa kawaida sina hata ndugu tuseme balozi lakini kwa hili unalosema unakuwa unaleta ubaguzi ambayo ni dhambi mbele za wanadamu wenzako na kwa MUNGU pia.
Najua utanikosoa ila ukweli ni ukweli tuu hata kama inauma.
Najua umeona kama natetea ndio maana ukasema uwezo upo chini.Najua pia umetoa hii thread baada ya Ridhwani kupitishwa labda pia kalenga Mtoto wa Mgimwa kupitishwa.Nipe point yako kubwa kuliko ambapo kavunja katiba ya nchi au kanuni za uteuzi wa uchaguzi.Usitumie muda wako kuamini sana akili za kuambiwa.Wee lazima Chadema sasa ushapewa akili za kuambiwa sasa unajifanya unajua.Mbona Chadema mtoto wa Ndesamburo ni mbunge viti maalum au pale palichezwa rafu au walipima uwezo wao.Ngoja nikupe haki moja kikatiba mf ukitaka kugombea ubunge lazima uwe na miaka 21.Haikusema miaka 21 ila usiwe mtoto wa kiongozi wowote.Unavyo andika unaonesha kabisa uwezo wako uko chini sana! Unajaribu kuelezea jambo ambalo kwakweli nigumu sana kulielezea,pole sana ndugu yangu kwa kuelezea jambo ambalo halielezeki!Unatakiwa kuangalia mambo kwa upana zaidi,jaribu kufikili nje ya box! ndiyo maana andiko lako ni senseless kabisa pole sana!
Najua umeona kama natetea ndio maana ukasema uwezo upo chini.Najua pia umetoa hii thread baada ya Ridhwani kupitishwa labda pia kalenga Mtoto wa Mgimwa kupitishwa.Nipe point yako kubwa kuliko ambapo kavunja katiba ya nchi au kanuni za uteuzi wa uchaguzi.Usitumie muda wako kuamini sana akili za kuambiwa.Wee lazima Chadema sasa ushapewa akili za kuambiwa sasa unajifanya unajua.Mbona Chadema mtoto wa Ndesamburo ni mbunge viti maalum au pale palichezwa rafu au walipima uwezo wao.Ngoja nikupe haki moja kikatiba mf ukitaka kugombea ubunge lazima uwe na miaka 21.Haikusema miaka 21 ila usiwe mtoto wa kiongozi wowote.
Nilijua unapoint kumbe walewale akili za kushikiwa ila kama ulivyosema uandishi wa mtu unaonesha mtu wa jinsi gani hata mimi nimegundua DHAMBI YA UBAGUZI IPO KWAKO KUONA KUNA WATU HAWARUHUSIWI KUFANYA HIVI.Ila tutakwenda ngoja katiba mpya itengenezwe vizuri ila tatizo wewe hujasoma katiba ya sasa usingepost hizo pumba zako.
ILA HUU NI MTAZAMO TUU NAJUA UMEKUNYWA MAJI YA BENDERA HUTANIELEWA.
Ikiwa ni muda mrefu umepita,tokea watanzania tupate uhuru, tukiwa chini ya utawala wa TANU, hatimaye CCM bado mabadiliko makubwa hayajafanyika kuonesha malengo ya kulipatia taifa letu maendeleo. Awamu ya kwanza ilianza vyema, lakini mawazo ya Mwalimu JK Nyerere yalipoanza kukiukwa katika awamu ya pili, ya tatu na hatimaye ya nne ndio sasa watanzania tunaona tuko katika jehanamu iliyojaa chuki,njama,ufisadi, na umaskini uliokithiri.
Ni ukweli usiofichika CCCM na uongozi wake wote imeshindwa kutatua matatizo yanayotukabili, na niseme imekuwa ikituongezea tabu kila kukicha. Nianze na MGOMO WA MADAKTARI, AJALI ZA ZANZIBAR, SUALA LA MUUNGANO,KILIMO n.k vyote vinatabiri kifo cha CCM, kwa kuzingatia kuongezeka kwa machafuko nchini.
Watanzania walio wengi wenye akili timamu na hekima nadhani tayari wameshajiandaa kufanya mabadiliko makubwa 2015 ,na namini itakuwa ndio mwisho wa utawala wa kidhalimuna dhaifu wa CCM!
NA HICHO NDICHO KIFO CHA CCM 2015!
-------------------------------
Yote ni mawazo feki kama ccm ikianguka unafikiri nani aliyekamili ataongoza taifa hili. CDm ni saccos hujui? Mbulula we yaani hata Leo najua we ni mshika pembe tu