Wewe acha bla blaaa chadema ni msingi!Hiyo Chadema ina malengo yapi ya kufanya Mabadiliko ambayo CCM imeshindwa kuyaleta?? Katika vyama ambavyo havina Vision na Mission ya Maendeleo basi chadema yaweza kuwa namba moja.
Maana kama wameshindwa hata kujenga ofisi ya chama makao makuu huku wakipewa pesa nyingi na serikali kama ruzuku, wamepokea pesa nyingi kutoka kwa wafadhiri wa nje, wamechangisha wananchi, hizo pesa zote hazina hata kumbukumbu za ki account huku chama kikikataa kupeleka report za kifedha ili ziweze kukaguliwa.
Hiyo Chadema ina malengo yapi ya kufanya Mabadiliko ambayo CCM imeshindwa kuyaleta?? Katika vyama ambavyo havina Vision na Mission ya Maendeleo basi chadema yaweza kuwa namba moja.
Maana kama wameshindwa hata kujenga ofisi ya chama makao makuu huku wakipewa pesa nyingi na serikali kama ruzuku, wamepokea pesa nyingi kutoka kwa wafadhiri wa nje, wamechangisha wananchi, hizo pesa zote hazina hata kumbukumbu za ki account huku chama kikikataa kupeleka report za kifedha ili ziweze kukaguliwa.
Mkuu, nimeipenda sana hii pocha. Barabara nUri sana hii. Utafikiri haipo bongoWamechakaa watu na siyo CCM. Sasa wanamuweka Lowassa awe Rais, ndiyo tutakoma. Ufisadi hadi kitandani.
Mkuu, hakika chadema ina mafisadi papa kuliko waliopo ccm. Huku Dr Slaa, kule Mbowe. Mbaya zaidi wote wanafanya ufisadi kuwaridhisha mahawaramwanzon nlikuwa nkifikiri wala rushwa na mafixad na waxalit only available in ccm, kumbe hata cdm wapo.
dah! kumbe n kweli hili n tatizo tulilonalo n la kisociety na co la ccm pekee.
ila nahc cdm n hatar zaid kuliko ccm kwa muhstakabari wa TANZANIA tofaut na baadh ya member weng hum jf wavyofkr.
huu n mtazamo wangu 2 maxela mcjenge chuki
Mkuu, nakubaliana na wewe kwa asilimia 100mwanzon nlikuwa nkifikiri wala rushwa na mafixad na waxalit only available in ccm, kumbe hata cdm wapo.
dah! kumbe n kweli hili n tatizo tulilonalo n la kisociety na co la ccm pekee.
ila nahc cdm n hatar zaid kuliko ccm kwa muhstakabari wa TANZANIA tofaut na baadh ya member weng hum jf wavyofkr.
huu n mtazamo wangu 2 maxela mcjenge chuki
Yaani wewe kwa akili zako za kibavicha unafikiri ni rahisi kila mtu kuinyima kura ccm? Ccm ni chama kongwe na tawala. Kimewafanyia mengi WatanzaniaDawa ya kutibu uchakavu wa CCM ni kuing'oa madarakani na kuweka Chama kingine mbadala ambacho ni CHADEMA.Tulipofikia wa Tanzania mabadiliko ni jambo ambalo haliepukiki wala kukwepeka ili tuweze kupata maisha bora ni lazima kama wananchi tuitokomeze ktk sura ya Tanzania.Kamwe
Tanzania haiwezi kuendelea kama CCM itaendelea kubakia madarakani kwa nguvu na ukilitimba mkubwa.Sote wananchi tulochoswa na hawa MAFISADI WA CCM
WALOTAWALA MUDA MREFU NILAZIMA TUUNGE MKONO OPARASHEN TOKOMEZA CCM KTK UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA HADI UCHAGUZI MKUU,KILA MTU AINYIME KURA CCM HII NDIO DAWA YA KUIONDOA NA KUITOKOMEZA CCM KWENYE SIASA ZA TANZANIA.
Yaani wewe kwa akili zako za kibavicha unafikiri ni rahisi kila mtu kuinyima kura ccm? Ccm ni chama kongwe na tawala. Kimewafanyia mengi Watanzania
Mburula, hayo ni mawazo yako. Ila kumbuka huwezi kuiba kama huna cha halali. Ni sawa na mtu ambaye alikuwa hana mbuzi hata mmoja. Kesho ukikutwa na mbuzi 20 lazima watu watakutilia shaka. Ila kama ulikuwa na mbuzi watano na ukakutwa na sita, hakuna atakayekushangaaHahaha hahaha hahaha wewe ni mburuula...ccm inashinda kwa kuiba kura.
Mkuu, nimeipenda sana hii pocha. Barabara nUri sana hii. Utafikiri haipo bongo
Mkuu, hiyo barabara iko nchi gani Afrika?Sijui nikucheke au nikuhurumie, kushoto vumbi linatimka na wewe unasifia barabara nzuri, khaaaa!!!!!
Huko pembeni badala ya kujenga Pavements kwa ajili ya waendesha baiskeli..... na unasifia eti kama siyo Bongo.
Ona Barabara za mjini za wenzetu ndiyo ujuwe barabara za maana zikoje. Halafu hao juu ni ABIRIA au Mizigo ya CCM?
Chama Cha Matapeli (CCM)