Kifo cha CCM kimetimia

Utahangaika sana leo hutopata unachokitaka na chama chako cha maruhani lazima uzikwe nacho tu.
 
Haya mambo yanawafaa viraza wenzako wa bavicha.
 
Ndoto za mchana hizi daima hazina matokeo yoyote yenye maana ni ndoto zinazotokana na ugumu wa maisha pamoja na mawazo ya kuchoka kimaisha.
 
Jifurahisheni tu sio mbaya Toka LINI CCM ikataka Kura Zao CCM itatawala NCHI HII Mpaka KIYAMA.
Polise Ni CCM
Tume YA Uchaguzi Ni CCM
Jeshi Ni CCM
Usalama Wa TAifa NI CCM
Jeshi La Magereza Ni CCM
Mahkama Ni CCM
Majaji Ni CCm
SASA Nyiye Bakiyeni na Kura Zenu NA endeleyeni kujifurahisha
 
Ccm wamehuzunika,hawana amani,hawana dira,wanahangaika,wamepoteza matumaini na kila aina ya majonzi.Hii ni kutokana na mtu wao kuvuliwa vyeo vyake.Huyu mtu alikuwa anatumika sana na CCm ili kisambaratisha CDM.Hakuna mwanaccm aliyeshindwa kumtetea zzk kila mgogoro unaotokea katika CDM unaomhusu ZZK.CCM wanafikia hatua ya kusema CHADEMA inamuogopa Zitto, to what extent inamuogopa ZZK?Who is Zitto? ZZk sio malaika kwamba always yeye yuko right,CDM ni taasisi na sio zzk.CCM wanahuzuni baada ya plan yao kufeli.
Bora kugoma kupiga kura kuliko kuichagua ccm ili iendlee kubaka,kula rushwa,kuuza madawa ya kulevya,kufanya ujangili,kufanya ufisadi nk siko tayari kwa hilo,CDM hata ikisambaratika leo(siombei iwe hivyo) lakini siko tayari kuungana na mafisadi,wabakaji,walarushwa,wauaji,majangili,mauza madawa ya kulevya CCM.
Wabakaji,mafisadi,majangili oyeeeeee?
 
CCM your days are now numbered as your monster has finally been completely defeated!!
 
Ccm wamekuwa wakitumia kila aina ya mbinu chafu kuidhofisha CHADEMA,lakini mbinu hizo zinagonga mwamba na matokeo yake wanaangukia pua.Walianza na ndoa ya Dr.Slaa lakini hawakufua dafu,wakaja na udini au ukabila wakakimbia wenyewe,wakajitokeza na kadi ya Dr.Slaa napo wakaumbuka,wakaja na mbinu ya ugaidi wakambulia patupu, na sasa wamekuja na mbinu ya kuweka mapandikiz CHADEMA wakiongozwa na Zitto ndio sasa chama kinaimarika zaidi.Huku wao wakimtetea Zitto kama nini!
R.I.P CCM
 
Poleni kwa kuhangaika mtasingizia mpaka chama cha walimu kuwa kuwa kinawahujumu.
 
Dr. Kabangila aliyekuwa Makamo Mwenyekiti wa Chama Cha Madaktari Nchini na Mkufunzi wa Chuo Kikuu Cha Bugando huko Mwanza, ajiunga na Chadema Rasmi: Chanzo: Star Tv habari ya Leo Usiku!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…