mbuyuwangu
Member
- Jun 9, 2013
- 12
- 0
Ikiwa ni muda mrefu umepita,tokea watanzania tupate uhuru, tukiwa chini ya utawala wa TANU, hatimaye CCM bado mabadiliko makubwa hayajafanyika kuonesha malengo ya kulipatia taifa letu maendeleo. Awamu ya kwanza ilianza vyema, lakini mawazo ya Mwalimu JK Nyerere yalipoanza kukiukwa katika awamu ya pili, ya tatu na hatimaye ya nne ndio sasa watanzania tunaona tuko katika jehanamu iliyojaa chuki,njama,ufisadi, na umaskini uliokithiri.
Ni ukweli usiofichika CCCM na uongozi wake wote imeshindwa kutatua matatizo yanayotukabili, na niseme imekuwa ikituongezea tabu kila kukicha. Nianze na MGOMO WA MADAKTARI, AJALI ZA ZANZIBAR, SUALA LA MUUNGANO,KILIMO n.k vyote vinatabiri kifo cha CCM, kwa kuzingatia kuongezeka kwa machafuko nchini.
Watanzania walio wengi wenye akili timamu na hekima nadhani tayari wameshajiandaa kufanya mabadiliko makubwa 2015 ,na namini itakuwa ndio mwisho wa utawala wa kidhalimuna dhaifu wa CCM!
NA HICHO NDICHO KIFO CHA CCM 2015!
-------------------------------
Tena ni tatizo kuliko Ukimwi!
propaganda ndio zina ipa pumzi ccm kwa sasa, lakini kumbuka watz walio wengi wana elewa kila kitu, bila kusahau ugumu wa maisha na bom la ajira...
Mungu ibariki chadema
Ni mapema mno kukisomea buriani chama tawala. Sioni utayari wa chama kingine cha siasa nchini kuking'oa madarakani chama tawala hasa kwa kutumia mbinu wanazozitumia sasa. Bado kuna kazi kubwa wanatakiwa kufanya kama kweli wapinzania wanahitaji kufikia lengo lao la kushika dola. Wajue kuwa wanapambana na chama dola na kimeshaonesha mara nyingi kiwa hakisiti kutumia dola kubaki madarakani. Haya ni maoni ya mtu huru asiye na mfungamano na chama chochote cha siasa.
Sijui ni kwanini CDM wanajiaminisha wataishinda CCM 2015!
Nakiona CDM kikishindwa kama wenzao wa Zimbabwe MDC cha Morgan Tshangilai!
ccm ata wakitumia trilion kwenye uchaguz ujao, kamwe awawezi shindwa.
Kabla ccm haijaolewa ataanza yeye kuoleww kwanza.
Hizi siyo kelele za chura kweli?Ndugu zangu, naona wazi kwa macho na akili yangu anguko kubwa sana la CCM kwenye uchaguzi mkuu 2015. Kweli sikio la kufa halisikii dawa. Pamoja na kuwa CCM inaona dalili zote hizi lakini bado haiamki toka usingizi wa kubweteka. CCM inabaki kuwa ndoto
Mkuu jichola3
Kwa kuwa tayari umeshadungwa sindano subili dawa ifanye kazi bila shaka upende usipende utapata nafuu au kufa kabisa 2015. Ugua pole mkuu.
Mageuzi ya kwenye magazeti ya Tanzania Daima na MAWIO(MWANAHALISI), JF. Hawa ni watu wenye stress zao hawana lolote jipya la mageuzi .tatizo vijana wa kizazi hiki nakichukulia kama hamnazo,tatizo lenu tathimini mnazifanyia mkiwa mbele ya pc hamna ufahamu wa nn maana ya mageuzi.mtu anaehubili mageuzi hakuwahi hata kuandikishwa ktk kitabu cha wapiga kura lkn kelele nyingi kila kukicha mageuzi mageuzi.mageuzi hayo inakubidi yaanze na ww siyo kuyahubili kama makinisa yaliyoanzishwa hv juzi kati na watu wasiojielewa nn wanafanya kwa kulitangaza neno la Mungu kila kukicha.
Ndugu zangu, naona wazi kwa macho na akili yangu anguko kubwa sana la CCM kwenye uchaguzi mkuu 2015. Kweli sikio la kufa halisikii dawa. Pamoja na kuwa CCM inaona dalili zote hizi lakini bado haiamki toka usingizi wa kubweteka. CCM inabaki kuwa ndoto
Kwa kweli CCM chama changu hakina chake mwaka kesho na mwaka 2015 na bahati mbaya sana kimekata hata tamaa , huwezi kusikia leo CCM inafanya mkutano wa hadhara mkoa Fulani hata kata Fulani . Hizo ndo dalili za mtu kufa si uanza na kuzimia kama ilivyo CCM kwa sasa ilivyozimia. Na kama hakutakuwa na mabadiriko ya Uongozi wa juu na kuendelea kuwaacha hawa wenye kashfa kibaao ndo wanakichimbia kaburi kabisa. anayebisha na abishe .Hizi siyo kelele za chura kweli?
kila mhali maccm yapo busy kuandaa singo ya kuwakilisha CDM km hawavumi.