Huu ni wivu wa kike uliosheheni harufu ya uharo!!Ndio plan ilivyokuwa baada ya kuona chadema wataanguka baadhi ya kata ikabidi plan b itumike watu walipuliwe kura za huruma zipigwe na ushindi urudi chadema. Ingekuwa aibu sana kama chadema ingepoteza kata hata moja arusha. Ikabidi maarifa yatumike kuiokoa chadema hata kwa damu ya baadhi ya watu. Hivi hamjui kuwa chadema ikifa arusha na moshi biashara yao ndio imeishaaa?
Huu ni wivu wa kike uliosheheni harufu ya uharo!!
Ccm ndani ya Arusha ni sawa na Taifa stars ndani Santiago benabeu.
Aisee nimefikia sehemu mbaya sana ya kuichukia CCM! nilikuwa hainiingii akilini nikiona watu wakijitoa mhanga kwa kujilipua huko Palestine na kwingineko kumbe ni maudhi na uonevu dhalimu km huu unaofanywa na CCM. Haki na nanai tena tunakoenda huko si shwari tena, waziri mkuu anahimiza Polisi kupiga raia, basi LIWALO Na liwe tuu, CCM inanuka damu, imeua vya kutosha sasa tuiondoe tu madarakani
Nani kakudanganya? Tumeshachoka hilo lichama linaotaka kuuvuruga utali wa arusha. Mtabakia na wajinga wasio elewa dunia iinaendaje
Jibu hoja dada acha kuongea kama mlevi.